Wanawake acheni tamaa, mnajidhalilisha

Wanawake acheni tamaa, mnajidhalilisha

Hayo majibu mafupi inaonyesha anakudharau na kakufukuza kwa style ya kupiga mzinga
 
Bwana leo nikasema nmkumbuke ex Wang maana toto ni nzuri a.k.a la kwenda, basi nikachati nalo uko Facebook kwasabab namba yake nimefuta (namuheshimu ninae ishi nae,sijaoa), kweli bwana nafungua tu Facebook mtandao wake pendwa nikamkuta online tutakaanza kuchat.

Mwsho wa kuchat ukawa kama hvo Chin
Kuna kosa kubwa umefanya mkuu nimeona hapo kwenye mazungumzo yenu reduce the length of your texts, and you’ll look much less desperate
 
Huyo Ke hakupendi na hakuheshimu hata kidogo, alafu yupo very short and sweet lakin mjuba unatiririka na gazeti. Bado unampenda.
 
Back
Top Bottom