Mimi nishatumia njia zote za uzazi za mahospitali na nimeanza tokea na miaka 18 hukooo na Nina watoto zaidi ya 2 , natumia vijiti nawekaga vya miaka mitatu mitatu nikitoa tu haipiti mwezi mimba .na hapo sijakuhesabia mimba nilizopunch za ujanaacha kujifariji, kachome sindano kwa miaka miwili alafu uje ulete mrejesho kama ikishika haizidi miezi mitatu itaharibika au ndiyo hizo unazosemea.
Ndiyo utetezi wako siku zote
Ukweli ni kuwa wanawake wenye matatizo ya uzazi wengi wao wanajua sababu, labda asilimia moja au mbili ndiyo hawajuh walichokifanya!Mimi nishatumia njia zote za uzazi za mahospitali na nimeanza tokea na miaka 18 hukooo na Nina watoto zaidi ya 2 , natumia vijiti nawekaga vya miaka mitatu mitatu nikitoa tu haipiti mwezi mimba .na hapo sijakuhesabia mimba nilizopunch za ujana
Usihukumu bila ushahidi hujui uchungu alioubeba moyoni mwake, kama huwezi kumpa pole bora ukae kimya
Sio kila tatizo linajulikana chanzo chake, omba Mungu yasikukuteUwakumbushe wenzako wakiwa wanatiana moyo watueleze sababu zinazowafanya wasipate watoto sio wanatiana moyo tu.
Maana kila kitu kina sababu.
Sio kweli kama uwe na ufahamu mdogo juu ya matatizo na utokeaji.Sio kila tatizo linajulikana chanzo chake, omba Mungu yasikukute
Mada inahusu wanawake ila cha ajabu wanajibu wanaume kwa mihemko na chuki swala la mtoto Mungu ndiye apangae na kutoa mimba sio sababu mwanamke kutopata mtoto.
Oohh kumbe mnalijua hilo ?? Sasa mbona linapotokea tatizo kwenye uzazi wanaume huwa mnawabebesha lawama wanawake ??
ndio punyeto tu ila muache kutoa mimbaWanaume wenye matatizo ya low sperm count/ no sperm at all. Na nyie mlitoa nini? Au punyeto?
Sent using Jamii Forums mobile app
sitaki kuamini kama sadaka au kusifu kwa fasihi,
Sawa ila omba Mungu yasikukuteSio kweli kama uwe na ufahamu mdogo juu ya matatizo na utokeaji.
Mkuu, inawezekana kabisa ukapitia tu mada bial kuchangia kitu, tunajua kwamba upo, sio sahihi hata kidogo kutoa maneno ya dhihaka na kejeli kwa mtu ambaye hata hujui amepitia nini mpaka kuifikia hali hiyo.Aah wap, 99asilimia ni hivyo na kutumia sindano kwa muda mrefu,
kuna wengine wakipata mtoto mmoja au wawili wanaanza kuchoma sindano na baada ya hapo habari ya mtoto kwisha!
mbona umetoa hukumu bila kuwa na hakika ?au unamfahamu?
Ni mhanga kwa zaidi ya miaka 20. Nimezunguka hospitali mbalimbali na kufanyiwa vipimo mbalimbali ila haijawahi kubainika chanzo cha tatizo. Nimeombewa sana makanisani na kunywa dawa za mitishamba nyingi tu ila bado sijafanikiwa.Nawashukuru sana wote mliochangia na hasa waliochangia kwa kututia moyo na kutufariji. Ila ningependa kusikia zaidi kutoka kwa wahusika ili kujua jinsi wanavyokabiliana na changamoto hiyo. Sababu za hali hiyo zipo nyingi, zingine wahusika tunbazijua na wahusika wengine hawajui sababu ya kutokea hivyo. Naomba tusihukumu.