Hamna unajua nimeshatia hizi drink responsibly π akili inahama kidg
by the way Uzi/nyuzi zako zinagusa maisha ya watu directly i like it ..... congrats madam
Kuna ile ya skanka,, home orign ni wap mumy? π«Kama hizi ee? Thanks π
Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati,ile juu ya bati juu ya nyumba
Uzi bado
- Joanah
- wakuu
- Replies: 104
- Forum: JF Chit-Chats
Ety nimepita sehemu nimekuta mtu kajilaza pembezoni mwa njia za mwendokasi anajichukulia sheria mkononi π
Uzi bado!!
- Joanah
- Replies: 98
- Forum: JF Chit-Chats
Umesahau kope, ikibidi na nyusi nazo zipigwe msasaπ€£π€£Unakuta binti ana wigi kubwa kichwani, hereni kubwa masikioni, makucha marefu mikononi na miguuni, rangi imekolezwa kwenye lipsi mara sijui miwani mikubwa huku kabeba mkoba mkubwa ππsijui wanamudu vipi aisee vitu vyote hivyo
BurundiKuna ile ya skanka,, home orign ni wap mumy? π«
Wite mimi huwala.Hahahahahahahahahahahahahahahahahabbbab vipi kuhusu odiiliiii shaa........o
Basi mi napendaaaπMgongoni anakuwa kama alikutana na majambazi wakamkata mapanga, dah mnatutesa.
Wewe kijana kucha za staff ndio zikoje? Na unajua mpk kope moja moja duhhh!!ππ½ββοΈBinafsi napendelea mwanamke mwenye kucha nzuri nechurooo if not aliweka ziwe km za staff zinavutia kingine, kope moja moja au fupi sio yale makamba km ndevu za pweza
Unawafuatilia mpaka chooniπBila kujali wadau wamechangia nini ila kiukweli huwa ni mateso kwao maana inakfika sehemu hata kuchamba ni shida kwao
Km wafanyakazi ofisini wengi wanaeka kucha fupi, ndo nimesema za staff, kope nazielewa coz ex wife nilikuwa nampa hela akaweke hivyo akija lzm atoe maelkzo ndo nikajua kupitia hukoWewe kijana kucha za staff ndio zikoje? Na unajua mpk kope moja moja duhhh!!ππ½ββοΈ
Dahh nimeumia niliposoma hapo ex wife! Nikajua wewe bado kijana mdogo ila tayari una ex wife! Pole sana mkuu..Km wafanyakazi ofisini wengi wanaeka kucha fupi, ndo nimesema za staff, kope nazielewa coz ex wife nilikuwa nampa hela akaweke hivyo akija lzm atoe maelkzo ndo nikajua kupitia huko
Mimi mdg sijafka hata seteπ nilioa nikiwa 23yrsDahh nimeumia niliposoma hapo ex wife! Nikajua wewe bado kijana mdogo ila tayari una ex wife! Pole sana mkuu..
Ulikuwa una matatizo sana! Unaoaje at 23??ππ½ββοΈMimi mdg sijafka hata seteπ nilioa nikiwa 23yrs
Tulia mzeeπHawa viumbe nadhani wameshindikana, kuwapa attention ni kujiumiza. Avae anavyotaka, ili mradi atimize majukumu ya mama kwa watoto na yale ya mke kwa mume bila kuniletea uchafu wake.
Nimetulia binti sayuni...πTulia mzeeπ
Wanajitawazaga vipi hawa kama siyo uchafu tu?Wanawake wenye makucha marefu bandia vidoleni kwenye mikono huwa wanafanyaje mambo mbalimbali kama kupika, usafi, kufua, kutawaza, mapenzi n.k ?
Huwa sio mateso na bugdha?
View attachment 3646311
Wachafu silini hawezi nawa vizuriUrembo umewazidi nguvu wasichana.
Mademu wenye mikucha lazima kwa Bibi patakuwa hapaingiliki kwa AROMA.
Kabisa ,wenye mikucha mirefu kwa Bibi ni hatari.Wachafu silini hawezi nawa vizuri
Kwann mkuu π€Ulikuwa una matatizo sana! Unaoaje at 23??ππ½ββοΈ