Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

Hadi kufikia Siku ya Jana, bei ya roboti la kike lirembo la Bwana Elon Musk lilikuwa linauzwa dollar 1,500 tu

Kwa hela za madafu ni shilingi milioni 3.7 tu

Fanya kulichukua hilo udumu nalo hadi Uzeeni 🤗
 
Hamia kwa wanaume
 
Swaga hauna
 
Katika Vijana Wanaoweza Kuhonga Huku Mkoani Ni Mie Aiseee Mwanamke Wangu wa Mwisho Nlimpa 13 Pro Max Aisee Nishashindwa Kuhonga 5k Labda Vocha Iwe Vocha Mkuu
 
Cha kwanza hakikisha wewe mwenyewe unajipenda cha pili zingatia levo zako(kuna wanawake huwezi kuwanao kwenye mahusiano kutokana na levo zako)

Jitahidi utongoze wanawake wa hadhi yako hawa wa hadhi ya juu uwe una wanunua tuu lasi hivyo utaishia kujiona una mikosi
Kaka Nishawai Kujaribu Hadi Wale Wakienyeji Lakini Waaaapi...!! Kaka Mie Nahonga Sana Tena Ovyo Ovyo Sijawahi Kujiuliza Mara Mbili Pale Ntakapo Ombwa Pesa na Mwanamke Awe Wangu au Sio Wangu
 
Comrade, uamuzi ni wako. Ni lazima kwanza ufanikiwe kuwa mpendwa. Kupendwa hakuishii kwenye mwonekano tu.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…