Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

ukiwa na Hela watajibu hata maswali 50 kwa dakika 1.

Mwanaume saka hela... saka hela mwanaume mwenzangu

Wangekua hawapendi maswali sijui wangeishia la saba tu, maana sio kwa mitihani ile miswali 50 si jambo dogo
 

ATI zile Pesa😂😂
Yaani kichwa chako kimeathirika na Pesa.

Hiyo mipango mlishapanga Kabla hizo Pesa hazijapatikana
 
ukiwa na Hela watajibu hata maswali 50 kwa dakika 1.

Mwanaume saka hela... saka hela mwanaume mwenzangu

Wangekua hawapendi maswali sijui wangeishia la saba tu, maana sio kwa mitihani ile miswali 50 si jambo dogo

Tatizo mnajidanganya Sana.

Pesa inaumuhumu lakini kamwe haijawahi kununua mapenzi
 
Mapenzi kwa mantik ipi?
kama ni ngono basi unajidanganyana sana.
Ngono ni kama Chakula, No free Food. neither sex

Sasa ukiulizwa hiyo Pesa unayowaambia Vijana waitafute ni kiasi gani ili ikifika ndio wapendwe na Wanawake? Embu jibu.

Maana kila MTU Pesa anazo. Tunahitaji kiwango ili Vijana waingie mzigoni.
 
Pale Taikon akijitia kuwajua wanawake... [emoji38]
Ebu uoe huko utuletee mrejesho hapa.
Wanawake hawana formula moja
 
chai
 
🤣🤣🤣 Wafunze Vijana wako wanatakiwa wawe na mbinu rahisi za kutatua matatizo

Mbinu nawapa.
Lakini wanawasikiliza ninyi.

Wakubwa walisema muishi na wake Kwa Akili. Na sio Pesa.
Zingatia Akili ndio huleta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…