Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

Taikuni huwezi mjua mwanamke hizo ni assumption tu siku ukimjua unakaribia kifo
 
😀😀😀
Unafikiri nimeanza mapenzi juzi au nikiwa mkubwa?
Hizo kauli wanaambiwaga walioyajua mapenzi wakiwa chuoni Huko, au Baada ya miaka 20.

Hata hivyo Kwa habari za MKE ulichosema ni Sahihi kabisa Kwa sababu, hakuna Mwanamke mwenye Sifa ya niliyenaye, na kikawaida Watibeli tunaoa mara moja tuu.

Ikitokea Talaka au kifo, wanaofuatia hawawi wake Bali washirika tuu.
Kwa Watibeli.
Mungu ni mmoja
Mama ni mmoja.
Baba ni mmoja.
Mke ni mmoja.

Hakuna wa ku-replace nafasi zao hata Baada ya Kifo (Kwa hao binadamu).
So upo right.
Ni Bora ulifuata hiyo utibeli,maana usingepata replacement.
 
Hamjui vile mnaumiza wake zenu,waume wa staili yenu tuna story zenu za malalamiko huko saloon.

Mke ni lazima Ajue kila kitu Kwa Mumewe na kinyume chake Kwa Mume anatakiwa Ajue kila kitu Kwa Mkewe.
Watibeli ndivyo tulivyo.
 
Leo ndio nimesoma muendelezo kutoka pale kwenye nikutambarize ila hicho ulichoandika ndio mlifundishwa huko kwenye utaalamu wa saikolojia Kweli?kama ni Kweli basi hizo ni nadharia tu haziko applicable kwenye uhalisia....
Usipotoshe wenzio,hakuna kitu wanawake tunathamini na kujiona tunapendwa kama kuulizwa jambo tutoe na sie maoni yetu,

Mfano1:Baby,Nina zile pesa nilipata kwenye biashara x,Nina plan ya tuagize gari,hivi unapendelea gari gani tuagize kati ya Vanguard au Aliphard?(mnaanza kujadili,kimsingi mume anakuwa anajua anachotaka,hapo ataanza kumuelezea faida ya Vanguard mpaka mke utaelewa mtafikia maelewano)

Mfano2;Mama Anna,Ile pesa nilipata kwenye biashara x nimeagizwa Vanguards,itaingia trh 26 September.(we Kwa akili Yako mama Anna atajihisi vipi?)

Kivyevyote,Huwezi kujifanya vitu holela bila kumuuliza patner wako,,,hata hayo mapenzi unayoyasema Eti ukifika mrukie muweke kifuani asikie joto lako weeeee,mwanamke ni binadamu,ana halmashauri yake ya kichwa,Ukute mood yake Haipo ,anawaza mambo Yake mengine akikusukuma huko utasema mjeuri?ndio maana wenzio wanaanza kuwatumia wake zao sms za chombeza mapema wakiwa job,bibie saikolojia yake inakaa sawa akifika home bibie keshajitayarisha yeye Hadi mazingira,chumba kinanukia marashi Sasa wewe Cha ubishi kalia ubishi wako
Iwekwe kwenye jalada nakala nyingine zibandikwe stand zote za mikoani.Nzuri.
 
Ni Bora ulifuata hiyo utibeli,maana usingepata replacement.

😀😀
Kwa Dunia Hii labda iumbwe upya.
Sifa zote muhimu ambazo Wanawake wenye Akili wanazitaka Kwa mwanaume ninazo.

Ninachagua na kamwe sichaguliwi. Na nikisema ninachagua tambua yapo machaguo mengi.
 
😀😀
Kwa Dunia Hii labda iumbwe upya.
Sifa zote muhimu ambazo Wanawake wenye Akili wanazitaka Kwa mwanaume ninazo.

Ninachagua na kamwe sichaguliwi. Na nikisema ninachagua tambua yapo machaguo mengi.
Kujipakulia minyama inaruhusiwa sio mbaya😁
 
Kujipakulia minyama inaruhusiwa sio mbaya😁

😀😀

Ni miongoni wa Vijana ambao Wanawake wengi hukosa uvumilivu na kutufuata na kutuambia yanayowasibu mioyoni mwao. Wanatupenda.
Na ni Haki Yao Kwa sababu Sisi ni wachache Mno kwenye huu Ulimwengu
 
WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME.

Anaandika, Robert Heriel.
Taikon Master.

Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka mwanaume anayejiamini.
Kutokujua nini unafanya, Wakati Wanawake wanataka wanaume wajuvi na waalimu wao. Wanawake hawataki wanaume ambao hawajakomaa.

Kuuliza uliza maswali ni ishara kuwa unawasiwasi, unaogopa na hakika hauna mamlaka. Na Mbaya zaidi unauliza Kwa MTU asiyesahihi.

Imagine unamuuliza demu hivi; Umeridhika? Au umekojoa? Au unahamu? Yaani kama chizi hivi.
Mwanamke anataka mwanaume anayemuelewa, Mwanamke akiwa na Mwanaume hutumia zaidi Lugha ya mwili kuliko Lugha ya mazungumzo. Na kama atatumia Lugha ya mazungumzo basi atatumia zaidi mbinu mbili;

1. Mbinu ya mafumbo.

2. Mbinu y unyume.

Kama hajafurahi atasema amefurahi, na kama amefurahi basi atasema hajafurahi au akae kimya.

Wanawake wanapenda wanaume Smart, mbali na kuwa Pesa lakini wanawake wanapenda wanaume wanaowaelewa.

Mwanamke anataka kulumbatiwa alafu unamuuliza nikukumbatie? Wewe kama sio chizi ni nini?
" nikubusu"
" Nikubebe"
" Nikutambarize, nikulale"
Huo ni ujinga.

Taikon kama mzoefu wa Saikolojia na physiology ya Wanawake ninakuambia hivi, ukitaka kufanya Jambo Kwa Mwanamke wako fanya. Hayo ni mamlaka na Huko ni kujiamini,na Mwanamke wako atakupenda.

Mfano; umerudi Kutoka kazini, au umekutana na Mpenzi wako, msalimie, umvute karibu yako kimahaba kisha mkumbatie Kwa nguvu ahisi joto lako, hakikisha Viungo vyake vya mwili umevikamata Kwa kiwango cha wastani, ahisi kama anafanyiwa tiba ya misuli, kisha muachie busu zito, kisha mkiachana unampiga kikofi cha tako,

Mwanamke anataka ajione unamamlaka juu yake, sio ulete mambo ya usawa au kumuuliza maswali.

Mfano no 2. Unataka kufanya Mapenzi naye;
Hakuna kitu Wanawake wanapenda kama kumuona mwanaume anayempenda akiwa katika state ya kumtaka kingono, tena akikuona umesimamisha uume wako anafurahi Sana, ingawaje hataonyesha Jambo hilo, Ila body language yake itaonyesha. Kwanza ataona unampenda na kuona kumbe anakusisimua.

Hata kama anakataa n kujifanya anatoa udhuru, wewe tumia mamlaka yako kijanja.

Kamwe usimwambie unahamu, Hilo ni kosa la kiufundi, pili usimuombe game Hilo pia ni kosa.

Muite kitandani ukiwa na Boxer au bukta unayoshindia kila Wakati.

Muweke kifuani Mwako endeleeni na Stori huku unamtomasa tomasa, ongea Sauti za hakika zenye ushawishi wa kimapenzi, sio umwombe Noop! Eleza jinsi alivyo, elezea jinsi unapomuona unavyojisikia, muonyeshe mjegeje wako jinsi ulivyofurahi kuona kiungo chake(unataja labda upaja, au tako, au ziwa au Jambo lolote ambalo linamuingia akilini).

Dakika 10 nyingi naye atakuwa amesisimkwa, mtajikuta mpo mchezoni. Unapiga mechi, mnaenjoy.
Sio unaparamia vitu kama Konda wa Mbagala.

Alafu kuna Ile Unamuona kabisa Mpenzi au Mkeo anahamu alafu ulivyomjinga ATI unamuuliza, "Unahamu?" Kama jinga Fulani.

Wanawake wanapenda wanaume wanaojiongeza.

Sio kuuliza maswali kama mtoto Mdogo.

Wanawake kisaikolojia hata wakiwa wanahamu furaha Yao ni kuona wewe ndio unasahitaji kimapenzi/kingono kuliko wao wanavyokuhitaji. Hiyo huwafanya wajione wanavutia Waume au wapenzi wao.

Unaona Mwanamke amekasirika alafu muda huohuo unamuuliza umekasirika nini. Akili yako haijiongezi kuwa nini kimemfanya Mkeo au Mpenzi wako akasirike? Ni kweli huenda haujui kilichomkasirisha mkeo au Mpenzi wako lakini kamwe usiulize maswali kwani hiyo pia itamfanya akasirike zaidi Kwa kuona humjui na kama humjui basi moja Kwa moja atajua haumpendi. Unaona mambo hayo ya Dada zetu hayo.

Fika, umekuta amenuna, ingia, msalimie, labda hajaitikia, nenda kaa karibu yake, zungumza naye Huku labda unavua viatu au koti au kufungua Shati la kazini, mtolee Zawadi labda ni pipi au chochote ulichobeba, mwambie embu Kula hii kipenzi changu utulize Nafsi, alafu kuna taarifa nzuri nataka kukupa, najua kinachokusumbua hakitaweza kupambana na Mimi. Utamuona akibadilika na kuanza kufunguka, nini kinachomsumbua.

Sio ujifanye una-stress za kazini kuliko za Mkeo. Au Mpenzi wako. Mwambie upo kwaajili yake na kwaajili ya kumpa furaha, na yeyote au chochote ambacho kitaivuruga furaha yake hautakuwa tayari, kisha msikilize. Sio uanze kumfokea kana kwamba nawe umekuwa zero emotional intelligence.

Mwanaume lazima uwe na majibu yote ha maswali ya Mkeo au Mpenzi wako. Kama huna majibu basi atatafuta majibu Kwa wanaume wengine.

Wanawake ni kama Watoto, wanapenda kujaribujaribu mambo na kukujaribu ili kuona how smart and tough you are, tumia hata Uongo wenye Akili kuyajibu maswali Yao. Na kamwe usiwaulize maswali.

Vinginevyo maswali yako yalenge kuwatukuza na kuwasifia, mfano, hivi unawezaje kupika chakula kizuri kama hicho?

Hivi unaweza kunifanya niwe mwanaume msafi kiasi hiki?

Hivi haya mauno ulijifunzia wapi?

Hayo ni maswali yanayolenga kumsifia na kumtukuza Mkeo au Mpenzi wako. Na hayahitaji majibu yake kwani unaweza kuendelea kusifia tukio linaloendelea.

Mshike mkono, kisha mvute kiasi kama unampepesusha na akiwa anatetereka unamtuliza, akiwa ametulia na kuanza kukutukana kuwa hapendi, eleza furaha yako.

Sio unakutana na demu barabara ATI unamwambia naomba mkono, unaomba!!! Unaumwa wewe!

Acha nipumzike SASA.

Sabato NJEMA.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Siwezi kuridhika nafsi yng bila kuuliza maswali, nisimuulize maswali yeye km Nani km hataki maswali asepe akaishi na bubu ataenjoy zaid
 
😀😀

Ni miongoni wa Vijana ambao Wanawake wengi hukosa uvumilivu na kutufuata na kutuambia yanayowasibu mioyoni mwao. Wanatupenda.
Na ni Haki Yao Kwa sababu Sisi ni wachache Mno kwenye huu Ulimwengu
Kiukweli Mimi wanaume wa type Yako ni hell NO......ukiona mwanaume unajifanya mwanasaikolojia huyo atakusumbua,Mimi napenda watu simple awe na AKILI timamu za kujua kutafuta pesa na kuzitunza ananitosha.....Nyie Maproffessor wa theology, philosophy, psychology siwaweziii maana humo ndani itakuwa ubishi tu
 
Siwezi kuridhika nafsi yng bila kuuliza maswali, nisimuulize maswali yeye km Nani km hataki maswali asepe akaishi na bubu ataenjoy zaid
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umenichekesha ujue
 
Back
Top Bottom