Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

Hapo ndipo mnakwama.
Pesa tangu ianzishwe haina hata miaka mingi.
Na uhakika ni kuwa haitatumika Karne kadhaa zijazo
Pesa Ina present kitu chochote chenye thamani ( value) kwahyo hata kama pesa haita kuwepo, basi kutakuwa na kitu chenye thamani, nacho kitasimama kama kitu kinacho pendwa na wanawake, na kitakuwa kinazungumziwa kama pesa .
 
Mwambie huyu huwa ni mbishi sana..enzi za kale(ice age/stone age) wanawake walipewa mikufu hata iliyotengenezwa na meno ya wanyama,manyoya na mifupa,zama zikabadilika wapewa Vito vya chuma,Shaba,dhahabu mpaka Sasa ni Hela ila huyu mtu kila siku namuelewesha kakaza fuvu
 
Mwanzoni pale makala zako nyingi zilikuwa ni za kuwachamba wanawake. Tena zingine zilileta migogoro kweli mpaka ukabatizwa u misogynist. Ulipoona hivyo naona umebadili gia angani na kuanza kupondea wanaume wenzio. Pengine unajaribu kujisafisha....au unasimp ili uendelee kuwatafuna.

Nijuavyo mimi, na kulingana na uzoefu wangu, wanawake ni viumbe watata sana na siyo rahisi kuwaelewa. Wengine usipomuuliza vimaswali maswali anakuona unamdharau, humpendi na au humthamini. HAKUNA FOMYULA YA JINSI YA KU-DEAL NA MWANAMKE na maandiko haya yenye fomyula za kikokoro mara nyingi yana mapungufu makubwa.

Mjue mwanamke uliye naye kwa sababu kila mmoja yuko unique. Mjue vizuri. Anapenda nini. Katika mazingira mbalimbali...na umfanyie hicho! Ukifanya vinginevyo utachemsha.

Maandiko kama haya, na fomyula hizi za jinsi ya ku-deal na mwanamke, kwa kiasi kikubwa zinabakia kuwa na ukweli katika kiwango cha nadharia tu. Na zingine zinafaa zaidi katika mazingira ya huko zilikotoka. Ukiingia field mara nyingi utakuta mambo ni tofauti kabisa. Kwa hivyo ni kama alivyotuasa JK..."Akili za kuambiwa na akina Taikon Mtibeli always changanya na zako"

Mjue vizuri mwanamke uliyenaye na umtendee akipendacho - hata kama ni counter intuitive na kinakwenda kinyume na manadharia haya ya Saikolojia na utopolo mwingine!
 
Pesa Ina present kitu chochote chenye thamani ( value) kwahyo hata kama pesa haita kuwepo, basi kutakuwa na kitu chenye thamani, nacho kitasimama kama kitu kinacho pendwa na wanawake, na kitakuwa kinazungumziwa kama pesa .

Unadanganywa Mkuu.
Pesa kila MTU anaipenda lakini linapokuja suala la mahusiano, Pesa haiwe,I kukufanywa upendwe. Kitakachopendwa ni hizo Pesa na sio wewe.
Mapenzi yanahusu zaidi maumbile na character ya MTU.

Wapo wanaume wenye Pesa na bado mapenzi yanawasumbua vibaya Mno.
Alafu kuna ambao hawana Pesa lakini mapenzi hayawasumbui.

Ni ishu ya code tuu!

Joannah anakudanganya hapo.
Umpe Pesa ili aje anipe Mimi(Ampe mwanaume wake)
 
Mwanzoni pale makala zako nyingi zilikuwa ni za kuwachamba wanawake. Tena zingine zilileta migogoro kweli mpaka ukabatizwa u misogynist. Ulipoona hivyo naona umebadili gia angani na kuanza kupondea wanaume wenzio. Pengine unajaribu kujisafisha....au unasimp ili uendelee kuwatafuna.

Nijuavyo mimi, na kulingana na uzoefu wangu, wanawake ni viumbe watata sana na siyo rahisi kuwaelewa. Wengine usipomuuliza vimaswali maswali anakuona unamdharau, humpendi na au humthamini. HAKUNA FOMYULA YA JINSI YA KU-DEAL NA MWANAMKE na maandiko haya yenye fomyula za kikokoro mara nyingi yana mapungufu makubwa.

Mjue mwanamke uliye naye kwa sababu kila mmoja yuko unique. Mjue vizuri. Anapenda nini. Katika mazingira mbalimbali...na umfanyie hicho! Ukifanya vinginevyo utachemsha.

Maandiko kama haya, na fomyula hizi za jinsi ya ku-deal na mwanamke, kwa kiasi kikubwa zinabakia kuwa na ukweli katika kiwango cha nadharia tu. Na zingine zinafaa zaidi katika mazingira ya huko zilikotoka. Ukiingia field mara nyingi utakuta mambo ni tofauti kabisa. Kwa hivyo ni kama alivyotuasa JK..."Akili za kuambiwa na akina Taikon Mtibeli always changanya na zako"

Mjue vizuri mwanamke uliyenaye na umtendee akipendacho - hata kama ni counter intuitive na kinakwenda kinyume na manadharia ya Saikolojia na utopolo mwingine!

Kwanza lazima ujielewe kisha uelewe Watu wanaokuzunguka.
Hapo kuelewa Watu wanaokuzunguka basi Mimi ni mmoja wao Kwa hapa JF.

Hakuna sehemu nimebadili Gear angani, kazi yangu siku zote inahusu maadili na mahusiano. Kukemea na kuonya kuhusu Tabia Mbaya na za kihuni bila kujali zinafanywa na Wanawake au wanaume.

Wanawake nitaendelea kuwashambulia ili wazidi kuwa Bora, watakaonielewa watafanikiwa na hawatateseka Kwa mambo madogo. Watakaoona nawachukia watajua wenyewe Kwa sababu wanaowachukia ni wale wanaoishi nao Huko wanaowatesa na kushindwa kuwapa thamani kama Wanawake.

Kuhusu Formula hakuna Jambo lolote kwenye Hii Dunia ambalo halina Formula.
Ni Watu wenye upeo mdogo ambao watasema Jambo Fulani halina Formula.
Kutokujua formula ya Jambo Fulani haimaanishi Jambo Hilo halina Formula..
 
Mwambie huyu huwa ni mbishi sana..enzi za kale(ice age/stone age) wanawake walipewa mikufu hata iliyotengenezwa na meno ya wanyama,manyoya na mifupa,zama zikabadilika wapewa Vito vya chuma,Shaba,dhahabu mpaka Sasa ni Hela ila huyu mtu kila siku namuelewesha kakaza fuvu

Kama Mwanaume Hana cha ku-offer Kwa nini asitoe Pesa?
Akili Hana
Kipaji Hana
Umashuhuri Hana.
Cheo na mamlaka Hana.
Mvuto Hana.
Unategemea nini?

Kwa hiyo Kwa upande mwingine upo sahihi.

Mimi ninawajua wasanii wakubwa, Watu mashuhuri wakubwa na viongozi ambao wanapesa lakini hawazitumii Kupata hao Wanawake.
Wakati huohuo ninawajua wale wanaume wanaofanya kazi za jasho na wanatoa Pesa na bado Wanawake wanawasumbua vibaya Mno.

Wakati huohuo wapo wenye Pesa ambao wanatoa Pesa na bado Wanawake wanawapiga Pesa na bado hawapewi mbususu.

Wewe endelea kuwashauri Vijana kuhusu Pesa wazipate hizo Pesa(Jambo zuri) lakini watashangaa hizohizo Pesa hazitabadilisha chochote wanapokutana na Wanawake.
 
Mi natumia nguvu mbona nawatafuna tu, kuna mademu bila kumfanyia undava hulambi kibumbu. Kuna circumstance nguvu inahitajika ,kuna pahala persuasive methods zinatumika, both methods are applicable interchangeably
Huko ni kukosa mbinu😁
 
Kama Mwanaume Hana cha ku-offer Kwa nini asitoe Pesa?
Akili Hana
Kipaji Hana
Umashuhuri Hana.
Cheo na mamlaka Hana.
Mvuto Hana.
Unategemea nini?

Kwa hiyo Kwa upande mwingine upo sahihi.

Mimi ninawajua wasanii wakubwa, Watu mashuhuri wakubwa na viongozi ambao wanapesa lakini hawazitumii Kupata hao Wanawake.
Wakati huohuo ninawajua wale wanaume wanaofanya kazi za jasho na wanatoa Pesa na bado Wanawake wanawasumbua vibaya Mno.

Wakati huohuo wapo wenye Pesa ambao wanatoa Pesa na bado Wanawake wanawapiga Pesa na bado hawapewi mbususu.

Wewe endelea kuwashauri Vijana kuhusu Pesa wazipate hizo Pesa(Jambo zuri) lakini watashangaa hizohizo Pesa hazitabadilisha chochote wanapokutana na Wanawake.
Huwezi kuitenganisha pesa na.
Akili
Kipaji
Umashuhuri
Cheo na mamlaka
Hivyo vitu vyote ni sumaku ya pesa,no wonder hao watu wenye kimojawapo Kati ya hivyo ataendelea kujinyakulia wanawake,Kwa maana mwanamke haangalii mwaka huu tu,anakupigia picha hata miaka kumi mbele ndipo utaposikia,huyu nilijua tu akili yake nikajua baadae lazima aje atoboe...kutoboa ni Nini? Ni Pesa brother.
 
Ulichosema ni kweli Kwa kiwango kikubwa.
Ila wapo Watu wenye Akili na Hawana Pesa. Wengi tuu. Ila wanakuwa chanzo cha Pesa Kwa wengine.

Wapo Watu ni mashuhuri na maarufu na Hawana Pesa na mifano ukitaka nakupa.

Wapo Watu wanamamlaka na Cheo lakini Hawana Pesa.

Tuseme hivyo nilivyotaja na Bahati ndivyo vinampa MTU utajiri au Pesa
 
Wewe mimi huniwezi,tutakuwa tugombana humo ndani kila siku,maana unajizima sana data wakati najua kabisa akili unazo kabisaaa,

Hakuna Mwanamke ambaye siwezi kuishi naye. Na hakuna mwanamke ambaye hawezi ishi na Mimi.
Huyo bado hajaumbwa😀
Tusubiri Dunia Mpya.

Na kikawaida Mimi siwezagi kugombana, Akili 99 nguvu 1.
 
Leo ndio nimesoma muendelezo kutoka pale kwenye nikutambarize ila hicho ulichoandika ndio mlifundishwa huko kwenye utaalamu wa saikolojia Kweli?kama ni Kweli basi hizo ni nadharia tu haziko applicable kwenye uhalisia....
Usipotoshe wenzio,hakuna kitu wanawake tunathamini na kujiona tunapendwa kama kuulizwa jambo tutoe na sie maoni yetu,

Mfano1:Baby,Nina zile pesa nilipata kwenye biashara x,Nina plan ya tuagize gari,hivi unapendelea gari gani tuagize kati ya Vanguard au Aliphard?(mnaanza kujadili,kimsingi mume anakuwa anajua anachotaka,hapo ataanza kumuelezea faida ya Vanguard mpaka mke utaelewa mtafikia maelewano)

Mfano2;Mama Anna,Ile pesa nilipata kwenye biashara x nimeagizwa Vanguards,itaingia trh 26 September.(we Kwa akili Yako mama Anna atajihisi vipi?)

Kivyevyote,Huwezi kujifanya vitu holela bila kumuuliza patner wako,,,hata hayo mapenzi unayoyasema Eti ukifika mrukie muweke kifuani asikie joto lako weeeee,mwanamke ni binadamu,ana halmashauri yake ya kichwa,Ukute mood yake Haipo ,anawaza mambo Yake mengine akikusukuma huko utasema mjeuri?ndio maana wenzio wanaanza kuwatumia wake zao sms za chombeza mapema wakiwa job,bibie saikolojia yake inakaa sawa akifika home bibie keshajitayarisha yeye Hadi mazingira,chumba kinanukia marashi Sasa wewe Cha ubishi kalia ubishi wako
 
Back
Top Bottom