Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa according to Robert ilitakiwa umshike mkono Miriam,ummbusu mwaahhhh......🤣🤣🤣🤣🤣kama tusingeitwa kama familia tuje tukutoe kimara police postnna makomfidensi hatari hasa nikivutiwa nikavutika kweli kweli 😂
j4 nilikuwa nimesimama kwenye daladala akapanda dada mmoja kabana nywele kama jumong style ya kisabato, nilivutiwa nae wakati konda anaokota nauli nikasogea nikamlipia, nikamchangamkia kama tunafahamiana nikampa maua yake sikujali macho ya watu, nikamwagia sifa kapendeza akashukuru japo alikaza kutoa namba, niliambulia jina tu. We miriamu kama upo humu uje piemu mara moya hakika uliifanya siku yangu kuwa njema sana asubuhi kabisa. 😂
Nina uhakika mwanamke anayeweza kuishi na wewe ni mkeo tu...MTUNZE SANA....akimuacha huyo utapata tabu sana!Hakuna Mwanamke ambaye siwezi kuishi naye. Na hakuna mwanamke ambaye hawezi ishi na Mimi.
Huyo bado hajaumbwa😀
Tusubiri Dunia Mpya.
Na kikawaida Mimi siwezagi kugombana, Akili 99 nguvu 1.
🤣🤣🤣🤣🤣Hapo kwanza Ncheke!huwezagi kukubali jambo Robert hata kama liko wazi.Ulichosema ni kweli Kwa kiwango kikubwa.
Ila wapo Watu wenye Akili na Hawana Pesa. Wengi tuu. Ila wanakuwa chanzo cha Pesa Kwa wengine.
Wapo Watu ni mashuhuri na maarufu na Hawana Pesa na mifano ukitaka nakupa.
Wapo Watu wanamamlaka na Cheo lakini Hawana Pesa.
Tuseme hivyo nilivyotaja na Bahati ndivyo vinampa MTU utajiri au Pesa
Jitulize,hiyo coercive haina haja.Persuasive na coercive zote zinatumika.
🤣🤣🤣🤣🤣Hapo kwanza Ncheke!huwezagi kukubali jambo Robert hata kama liko wazi.
Hatupendi mwanaume anaejifanyia mambo bila kutuuliza na kutushirikisha....tunahisi katudharau,na hana future na sisiWanawake enyewe mbna wapo kmya sasa?embu tokezen mtupe ushuhuda
Having formula hataki kidogo, kuna wapenda pesa, wanaopenda smart guys, wanaoshikwa mkono and that's it.
Nimesoma hapo jamaa kawa mcheshi kwenye daladala na mtoto kamuelewa, it happens sana. Sie wenye aibu hatuwezi kushika mkono njiani na kutupia vocals, ila usawq huu nadhani sihitaji hizo vocals, tumerahisishiwa maisha sana.
Bottom line, wadada wa kizazi hiki hakikisha tu una pesa, iwe nyingi au ya kubadilisha nyama wewe uwenayo tu, kama azma yako ni kuwalala mbona utawachoka, ila kama azma yako ni kutafuta mwenza, that's a vert different story.
We mara ngapi uliweka madini nakubali?ila ukipuyanga ukielekezwa unakaza tu🤦Challenger.
Wewe unakubaligi?😀
Kuwa smart upstairs ni kuwaje mkuu?Sasa utakuwa na Pesa bila kuwa smart?
Swali jepesi sana mbona?wangapi Wana pesa na hawako smart?Sasa utakuwa na Pesa bila kuwa smart?
Sio kila jambo la kumshirikisha mke/mwanamke. Muelewe hivyo.Hatupendi mwanaume anaejifanyia mambo bila kutuuliza na kutushirikisha....tunahisi katudharau,na hana future na sisi
Ukimtajia pesa ana allergy huyu.Having formula hataki kidogo, kuna wapenda pesa, wanaopenda smart guys, wanaoshikwa mkono and that's it.
Nimesoma hapo jamaa kawa mcheshi kwenye daladala na mtoto kamuelewa, it happens sana. Sie wenye aibu hatuwezi kushika mkono njiani na kutupia vocals, ila usawq huu nadhani sihitaji hizo vocals, tumerahisishiwa maisha sana.
Bottom line, wadada wa kizazi hiki hakikisha tu una pesa, iwe nyingi au ya kubadilisha nyama wewe uwenayo tu, kama azma yako ni kuwalala mbona utawachoka, ila kama azma yako ni kutafuta mwenza, that's a vert different story.
Nina uhakika mwanamke anayeweza kuishi na wewe ni mkeo tu...MTUNZE SANA....akimuacha huyo utapata tabu sana!
Kwa hivi vi saikolojia na vimisimamo,na UBAHILI wako hapana,hakuna mtu anakuweza, Trust me😁