Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mpenzi unajidanganya hao watu hawana shukuraniHao watoto wake wanazuia vipi huba langu?
Me naangalia mapenzi na huduma muhimu hayo ya watoto nitawalea kiroho safi, na mama zao hawantishi!! 🤣🤣🤣