Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

Kuna demu hapa mtaani huwa tunamuita Irene Mapepe huwa namuona wa kawaida sana rafiki zangu walikua wakiniambia mchumba wako yule kule anapita lazima niwaletee noma.

Sasa Irene sijui akatoa wapi smartphone siku moja nimemuona mtandaoni ni mzuri kinoma yani hadi nikamtumia meseji kumuomba msamaha maana mi ndo nilimpa jina la Irene Mapepe
 
Mkuu, nje ya mada kidogo.
Huyu anaunguza nini huko nyuma, kwamba ni tafsiri ya kupigwa pasi?
 
Kweli we wa facebook
 
Example ni hata profile pics zao hata hapa jf. Nimefanikiwa kukutana wanawake wanna wa jf aiseeee huku kajiweka picha sijui ya kudownload kutana nae mamaaaaaa kibwengo wa asubuhi
 
Si nilivyomuona insta nikadhani nimepata kumbe nimepatikana,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila hamjui wanawake tunapitia magumu mangapi mpaka tunaamua kuedit picha zetu.
Mitaani hatutakiwi basi hata wa mitandaoni nao watushinde?
Hamnaga hiyo!

Ila mie nawapenda sana wanaume na ngai, hali yoyote atakayokutana nayo lazima ailambe.
Muhimu anazo sehemu za siri tu.
 
We dada weeeee,Hatujiiiiiiiii,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…