Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

Kwani we unataka sura au mashine?
Nifunike uso na mto bhana, unakwama wapi bro πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Sura nayo inaleta vibe wazungu wakuje vizuri,sio wakati unagonga ukitaka kumwaga unavuta hisia za picha ya pisi kali ndio umalize.

Haifai hata ufanisi wa abdalah kichwa wazi hupungua.

Kama ubongo haujakuelewa ni shida sana,ukielewa hata kama sura ni kama ya bibi yake haina tabu
 
Hawa viumbe ni shida sana mkuu
 
Na haya ma' filter ndio yanawachelewesha kuolewa kwasababu wanajidanganya kuwa ni wazuri na wanasoko huko mtaani wanatumia muda mwingi kuringa na kubadilisha wanaume mataokeo yake wanaume wakishaanza nao mahusiano wakiwavua nguo mara moja wanachokutana nacho plus balaa la UTI na kisamaki hswarudi tena. Au wanaanza kuwatafutia sababu.
 
And ofcourse hii tabia imesambaa mpaka kwa wanaume, kuna mshikaji nilimpiga block kwa sababu hii hii... Mtu unapost status unalamba lips huku umejiremba na filters damn!
Hao kina Mondi, RayVanny, Jux nk, wote wanatumia filter. Hao ni watu maarufu, halafu kuna wale hawana majina kama mimi nao wanatumia. Hapo nashangaa kwanini watuone sisi wanawake ndiyo tatizo. Victims and perpetrators wapo pande zote
 
Utelwzi kitu muhimu sana kikubwa unyevunyevu tuπŸ˜†πŸ˜†
 
Wewe huwa tunakopa hisia kumbe hujui?
Yaani unaipiga huku mawazo yanamuwaza Rachel πŸ˜…πŸ˜…
 
Hii pia ni sababu mkuu. Niliwahi kutana na mdada tuliyecaht nae siku nyingi sana. Nilipomuona nilistaajabu sana.Uzuri nilimwambia
 
Hao kina Mondi, RayVanny, Jux nk, wote wanatumia filter. Hao ni watu maarufu, halafu kuna wale hawana majina kama mimi nao wanatumia. Hapo nashangaa kwanini watuone sisi wanawake ndiyo tatizo. Victims and perpetrators wapo pande zote
Mwanaume anayetumia filter au mkorogo ana ualakini mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…