Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
Eh mbona mm hukunitumia jaman πΉKama huku tinder na badoo aisee nimepigwa sana...unadhani toto tako zuri sura ndio usiseme ...mweee kutana nae sasa...basi tuu unatomber kwa sababu hela ya nauli ulishatuma
Yaan et anateseka kweli Tena ukute kielf tanoWewe tena πΉπΉπΉ
Mzabzab si usamehe nauli.
Wale wenye sura za jeshi lazima zigome unashangaa inakimbia filter πΉHalafu filter mbona km sura ngumu hazikubali, ukiona filter imekubali kweli wewe ni pisi ya kwendea.. πΉ
Mkuu Kimekuramba mara ngapi?Kama huku tinder na badoo aisee nimepigwa sana...unadhani toto tako zuri sura ndio usiseme ...mweee kutana nae sasa...basi tuu unatomber kwa sababu hela ya nauli ulishatuma
Kwahiyo mnadhani tunataka filter?Jaman wanaume hawajui wanataka nini???
SahihiWakiwa real na sisi tunakwenda nao kiuhalusia kwani tunajua hata kwenye real life hawatafake
Kukopesha hamnaπΉπΉπΉ mkuu unaonekana una kiede mswede sana..!!
Paka manukato karibu na pua piga pipeHili la kisamaki na uti ni janga. Unakuta sistaduu wa ukweli ila sasa ukizama nae ndani unaanza kusikia harufu za ajabu ajabu
Sass fb kina utofauti gani na mitandao mingine,nyie ndio huwa mnakuwaga washamba sana,kea taarifa yako kwenye wengi ndio unapata kujua vingi ,nikuambie tu nipo mitandao mingi ila kwangu fb imenipa maujuzi mengi sana mpaka kina vitu nimechambua through fb na nikagundua kina watu wapo wapo hawajui vingi vya dunia,so wewe nimegundua ni mshamba wa mitandaoKweli we wa facebook
Walikuwa warembo, sisi tumekuja na sura za baba, shape za Aunties πAcheni bana. Mbona wa zamani walikuwa wanatongozwa hivyohivyo tu bula haya yote
Picha ni muhimu Sanaa Sanaa πKwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!
Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.
Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.
Jambo hili huwezi kulikuta kwa mwanaume maridadi na anayejitambua!!
Hoja yangu ama swali langu huwa mnajisikiaje kuona mitandaoni unapicha nzuri zenye kuvutia lakini physically mwonekano wako ni mbingu na ardhi?
Wanaume wanafanya maisha yawe magumu wakati njia rahisi zipo.πΉπΉπΉ khaaaaa..!!
Kuna njia nyingi ya ku escape reality moja wapo ni hiyo, kwa mtu makini hiyo ni lugha inayoashiria kuwa mtu huyo haaminiki ni bingwa wa ku fake.Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!
Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.
Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.
Jambo hili huwezi kulikuta kwa mwanaume maridadi na anayejitambua!!
Hoja yangu ama swali langu huwa mnajisikiaje kuona mitandaoni unapicha nzuri zenye kuvutia lakini physically mwonekano wako ni mbingu na ardhi?
Kama mara 3 hiviMkuu Kimekuramba mara ngapi?
Nilifuataga demu mkoa mwingine afu kufika kumuona kubababaaaake. Niligeuka. Hizi edit nyoko sanaKwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!
Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.
Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.
Jambo hili huwezi kulikuta kwa mwanaume maridadi na anayejitambua!!
Hoja yangu ama swali langu huwa mnajisikiaje kuona mitandaoni unapicha nzuri zenye kuvutia lakini physically mwonekano wako ni mbingu na ardhi?
Kwani Uzi wako inabidi uchangiwe kwa kuyachukua maneno yaleyale yalip kwenye Uzi wako?!!!Sawa umechangia mkuu lakini msukuma katajwa wapi kwenye uzi?