Mada za kuwadhalilisha mama na dada zetu ifike mahali zikomeshwe .. Si kila kitu akiweze vingine ni kusaidiana.. Swala la mapishi hata mwanaume anaweza kufanya
Natambua kuna majukumu msingi kwa kila mmoja ndani ya ndoa lakini pia kuna majukumu shirikishi..Mkuu najua wanawake wengi wasiojielewa wataipenda hii post yako...
Mwanamke kwa asili kaumbwa kulea au kutunza watoto na familia na ndio maana anaitwa MAMA...
Moja ya hitaji muhimu la binadamu kati ya yale matatu ni chakula...
Mwanaume kaandikiwa kukitafuta chakula na kukileta kwa familia, mwanamke anamalizia kwa kuhakikisha namna familia itavyoweza kukitumia chakula hicho...
Nitoe kwa hiyo list tafadhali 🤣Kwanza: Kama hujamuoa usimpe majukumu ya mke, kupika ikiwemo si ndivyo tulivyojadili katika nyuzi kibao humu?
Pili: Kama ni mke na umemuoa umegundua hajui kupika mrudishe kwao akajifunze.
Tatu: Wanawake wote wa JF tunajua kupika, kwa reference zaidi kaangalie uzi wa vyakula. Hivyo hii mada haituhusu na kwa heshima na taadhima tunaomba muwaambie watu wenu huko huko.
Nne, wanaume wa JF wengi wenu mnafanya Online gender based violence (OGBV) as if hao wanawake zenu hawana jema hata moja.
Mwisho siku nikigundua shemeji yenu yupo humu, ntampa likizo ya miezi 6, agghr wanaume humu mna gubu bwana!
Naweka nukta!!Mwanamke asiyejua kupika hana sifa ya kuwa mke
Hakuna kitu wanaume tunafurahia kama kula mapishi ya mkeo anayejua kupika
Ndoa ni taasisi yenye vitengo vingikwahyo mkuu nukipata mwanamke mwenye tabia njema na wife material kwasababu hajui kupika utamuacha????
watu wengi hatuelewi
Vp tenaa.... Kupika ndo basi[emoji3]Mkipika nyie sie tukila haina shida msituchoshe kwendeni uko [emoji57][emoji57]
Yah wewe nakutoa, na hoja zako hata zikiwa against women zinakuwa very rational.Nitoe kwa hiyo list tafadhali 🤣
Natambua kuna majukumu msingi kwa kila mmoja ndani ya ndoa lakini pia kuna majukumu shirikishi..
Majukumu msingi hubaki kwa jinsia husika na hayachangamani na jinsia kinzani.. Mfano kubeba mimba
Kwa maisha ya kisasa ishu za utafutaji ni majukumu shirikishi.. Hivyo mwenzako akienda kuhangaika kama wewe mwanaume una muda si mbaya kutoa msaada pale panapohitajika .. Na hili hufanyika kwa upendo
sina muda wa kubishana na chawa, pole.Basi achana na wasiojua kupika ili usilete malalamiko ya kipumbavu hapa JF
mkuu ww ni jasusi nini umeingiaje kwenye hizo PMnilichogundua wanaume wengi wanaotetea wanawake kwenye ishu ya kupika kwenye huu uzi wengi wao wamejaa kwenye pm za hao wadada kujinadi, poleni.
Pengine akaunti zangu za benki zimeshiba kuliko zako but i think its better tustick kwenye mada.Ukiwa na Pesa Kuna vitu huwezi lalamikia mwanamke[emoji23]
Kama wewe ni mpishi mzuri wa chapati najitolea kukuoa. Piab nakuahidi kuwa nawe hadi pale tabia mbaya ya mmoja wetu itakapotuachanisha.Mbona nimefeel offended hapo kwenye upishi wa kimataifa wa chapati 🤣🤣
Mimi sitaki kuolewa na weweKama wewe ni mpishi mzuri wa chapati najitolea kukuoa. Piab nakuahidi kuwa nawe hadi pale tabia mbaya ya mmoja wetu itakapotuachanisha.