Wanawake kunjueni mioyo tu waume zenu tuwe na wake wengi

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
2,582
Reaction score
4,554
Vilio ni vingi sana majumbani wengi wa wanawake shoo hamziwezi shuhuda tunazipata kwenye vijiwe vyetu vya kahawa

Visingizio ni vingi mara mseme mmechoka mara sijui tunapiga shoo kila siku kama tumeoa midori ya ngono n.k

Ukiachana na sex kama kazi ya kuingiza pesa wanawake shoo mnafanya kufosiwa kwahiyo kunjueni mioyo tu tukiwa na mipango kando au tukiwaolea wasaidizi.

Note: Mke mmoja hatoshi
 
Wanawake wakiolewa wanazingua.

Sometimes wanasababisha wanaume waendelee kuwa na mpango wa kando au kununua malaya
 
Lakini Pia Kuna Wanawake Ambao Nao Wanahitaji Shoo Kila Wakati Lakini Cha Kusikitisha ni Kwamba,,Wanaume Zao Wanasababu Vivyo Hivyo Kama Ulivyoandika Hapo Kwa Thridi Yako,,,,Tunawashauri Nini Wanawake Hao Wanaopitia Hiyo Kadhia?
 
Ni mmoja kwa kumi
 
Hata mume mmoja hatoshi, basi tu tunajipunja.
Kama mme mmoja hatoshi je unaweza kubebea mimba waume wawili kwa wakati mmoja ? Kama ukizaa kwa zamu utawahudumia watoto. Mwanaume akiwa na wake wawili hata kipato chake kinaongezeka. Ila mwanake akiwa na waume wawil anakuwa tegemezi zaidi. Kuwa na mwanamke mmoja ni kinyume na sheria za asiri.
 
Mume mmoja hatoshi.
 
Vilio ni vingi sana majumbani wengi wa wanawake shoo hamziwezi shuhuda tunazipata kwenye vijiwe vyetu vya kahawa

Visingizio ni vingi mara mseme mmechoka mara sijui tunapiga shoo kila siku kama tumeoa midori ya ngono n.k
Mkuu mwanaume hupaswi kuwa na mwanamke mmoja. Ila kama huwezi kuwahudumia, kuwatunza na kuwaongoza ni bora hata huyo mmoja usiwe nae.

BUT, KAMWE usiongeze mwanamke kwa sababu za kingono/Sex pekee. Hili litakuja kugharimu maisha yako siku za mbeleni.

Be a Man, have a purpose in Life then ishi kutokana na kanuni zako na misingi uliyojiwekea.

Kwenye historia ya AFRICA hapo kale, hakuna jamii ambayo wanaume walikuwa wanaoa Mke mmoja, so huu utamaduni wa mke mmoja ni idea za wazungu zenye maslahi kiuchumi zaidi and nothing else.
 
Back
Top Bottom