Wanawake kunjueni mioyo tu waume zenu tuwe na wake wengi

Fact

Hapo umenena mkuu wanawake hawapendi kugegedana kila siku labda awe na mimba inayopenda mgegedo
 
Wanajifanyishaga tu uingie mtego utakuta unamsifu anajua ukishanasa tu anarudi kwenye uhalisia

Halafu pia mkiwa kwenye uchumba hamuezi fanya kila siku ila mkishaoana uwezekano wa kukipiga kila siku upo na ndio kitu hawakiwezi
 
Kabisa kabisa,ila mume awe na inayoridhidha pia..
Kwa sababu ukichunguza vizuri wanawake wanaochepuka kwa asilimia kubwa ni wale wanaopewa kilakitu na waume zao
Anaechepuka na huku anapewa kila kitu mpaka mikazo huyo hafai kuwa mke aende tu riverside ndio sehemu inayomfaa
 
Mwamke yoyote akiridhika na show yako kwako anakuwa anapenda show sana tu, hakuna mwanamke asiyependa show 'kali' kama drill yako amekuwa thrilled nayo.
Hizi ni maneno tu ila uhalisia haupo ivo wanawake wanaopenda shoo ni 3/10 kwanza ukiwa na dushe kubwa ndio kabisaa
 
Wanajifanyishaga tu uingie mtego utakuta unamsifu anajua ukishanasa tu anarudi kwenye uhalisia

Halafu pia mkiwa kwenye uchumba hamuezi fanya kila siku ila mkishaoana uwezekano wa kukipiga kila siku upo na ndio kitu hawakiwezi
Uchumba si jumamosi mpaka jumamosi na tena kwa masaa machache😁 maana anawahi kwao
 
Lakini Pia Kuna Wanawake Ambao Nao Wanahitaji Shoo Kila Wakati Lakini Cha Kusikitisha ni Kwamba,,Wanaume Zao Wanasababu Vivyo Hivyo Kama Ulivyoandika Hapo Kwa Thridi Yako,,,,Tunawashauri Nini Wanawake Hao Wanaopitia Hiy
Uyo atakuwa na pepo la ngono
 
Ukiwa unawaza sana ni kwa nini Taifa Stars wamepewa kodi za wananchi milioni 700 wala huo muda wa kuwaza mambo ya ngono haupo kabisa.

Mtu anabaki anawaza kuhusu jinsi hospitali hazina dawa wala vifaa tiba, hapo hujafikiria miundo mbinu ya barabara hasa za mitaani na vijijini iliyoharibiwa na mvua za El-nino mpaka leo hazijatengenezwa, huduma za maji safi bado ni kizungumkuti halafu from nowhere unasikia kuna milioni 700 zimegawanywa bure. Kwa hiki kinachoendelea kwa nchi masikini kama hii, narudia tena aliyetuloga alaaniwe!
 
Huyo atakuwa anaogopa kupata mimba ndio maana anakuwa free kutoa akikaribia period kwakuwa anajua yai lishapasuka
Aah kwa wanaojua mzunguko labda ila 80% ya mademu niliochapa hawajuagi siku zao. Wengi wanashtukaga tu kishakatikia ndani. Ila trust me demu hata akusumbue vipi ukimuotea katika zile siku zake ukaomba tunda ukinyimwa ujue unahitaji maombi ya mwamposa.

Wengi wanapigwaga pumbu kipindi hiko nyege huwaga zinakuwa next level ukigusa tu imo 😂
 
Kwenye jukwaa la siasa hizo mada zipo kama buku tembelea kule ukatoe michango yako

Hapa tunajadili kwanini wanawake wakishaoleka mbususu hawatoi kwanini au kwakuwa wana uhakika wa namba
 
Fact japo ni kipindi kidogo tu
 
Naunga mkono hoja 100%. Wanawake acheni roho mbaya nyie mko wengi mkikomaa mnafikiri hao wenzenu watakwenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…