Pre GE2025 Wanawake kuwa viongozi/mamlaka si sahihi ni suala lisilo na maadili, baki nyumbani mkitumikia familia zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanawake waliumbwa ili kuwachangamsha Wanaume.
Sasa wanaume tumechangamka Mpaka tumekuwa machizi.
Hebu Fikiria, Tumeambiwa tuishi nae Kwa AKILI,
TAFSIRI YA NDANI ZAIDI NI KWAMBA MTU HUYO ANA MATATIZO. . . UKIKOSEA KIDOGO TU🤣🤣🤣
SASA =>JUU YA KIFUA CHA MWANAMKE, USIKU WA MANANE,TUNATOA AHADI NZITONZITO. . . . .
HIVI TUTABAKI SALAMA KWELI, , , HAKI YA MUNGU WANAUME TUMEUZA UFALME WETU.
 
tumezoea kuona wanapinga ukweli wanaojua na kuuelewa vizuri
 
Ukipeleka binti yako shule hata vidudu Ili aje kuwa mke bora hapo baadaye.
ndomana waarabu hili swala awataki kabisa na uwapenda sana wake zao na uwezi sikia vikelele kwao zaidi ya watu wa magharibu kuwavisha bibomu kichwa ikiwa wao tu wameshindwa mpa KAMALA nchi
 
Lakini bado wanaamini kupitia cc 😄
 
Wanawake waliumbwa ili kuwachangamsha Wanaume.
Sasa wanaume tumechangamka Mpaka tumekuwa machizi.
Hebu Fikiria, Tumeambiwa tuishi nae Kwa AKILI,
TAFSIRI YA NDANI ZAIDI NI KWAMBA MTU HUYO ANA MATATIZO. . . UKIKOSEA KIDOGO TU🤣🤣🤣
SASA =>JUU YA KIFUA CHA MWANAMKE, USIKU WA MANANE,TUNATOA AHADI NZITONZITO. . . . .
HIVI TUTABAKI SALAMA KWELI, , , HAKI YA MUNGU WANAUME TUMEUZA
Lakini bado wanaamini kupitia cc 😄
Ni wale tu ambao Bado wanaamini kwamba Nyerere anaongoza Nchi
 
Kwahiyo Samia akapumzike Kule mchambawima kizimkazi
 
Sio hayo tu,hataa kuwa na pesa Mwanamke hatakiwi kuwa nazo,Dunia na familia haitakalika

Mwanamke akiwa na uwezo jamii itanyanyasika

Viburi na dharau kwa sana
 
Tunadnaganyana vipi? Kwani wewe rais wako ni jinsia gani? 😹
Acheni kujipa umuhimu, ni hiyo mikengele yenu ndo inawafanya tusifanane, km nyie mlivyo hamna visambusa 🤣
Mafeminine endeleeni kudanganyana na kujazana ujinga mnapokutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…