Mr passion
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 202
- 282
- Thread starter
-
- #81
hapo unaelezea story ya single maza Ndomana tunataka kuwarudisha nyumbani mtulie mlee watotoTena wengine mmesomeshwa na mama zenu wakati baba zenu hawapo/ wapo bize na kuhonga/kulewa. Wamewahangaikia wee mpaka mmejipata. Lakini mkija hapa ni kulaumu tu!
Kaaziiii kweli kweli!
Mkuu usisomeshe mwanao wa kike shule, muweke nyumbani umlee aje kuwa mke bora. Paza sauti na kwenye ukoo wako wote wafanye hivyo!ndomana waarabu hili swala awataki kabisa na uwapenda sana wake zao na uwezi sikia vikelele kwao zaidi ya watu wa magharibu kuwavisha bibomu kichwa ikiwa wao tu wameshindwa mpa KAMALA nchi
Sio wote tunaamini hayo maandiko.Wanawake waliumbwa ili kuwachangamsha Wanaume.
Sasa wanaume tumechangamka Mpaka tumekuwa machizi.
Hebu Fikiria, Tumeambiwa tuishi nae Kwa AKILI,
TAFSIRI YA NDANI ZAIDI NI KWAMBA MTU HUYO ANA MATATIZO. . . UKIKOSEA KIDOGO TUπ€£π€£π€£
SASA =>JUU YA KIFUA CHA MWANAMKE, USIKU WA MANANE,TUNATOA AHADI NZITONZITO. . . . .
HIVI TUTABAKI SALAMA KWELI, , , HAKI YA MUNGU WANAUME TUMEUZA UFALME WETU.
kweli kabisa keyboard predictorI
Unaonekana wewe ni dhaifu sana na una chuki binafsi na wanawake
Ni single maza tu ndo anapitia hayo?hapo unaelezea story ya single maza Ndomana tunataka kuwarudisha nyumbani mtulie mlee watoto
Usinikumbushe wanajua kuunga mandondo hatar sana πKwani wanaume hamuwezi kupika maandazi?
Tena siku hizi baba ntilie wengi mpk kwenye masherehe mnapika πΉπΉ
Tumesikiaa usilie SasaππPUNGUZENI JAZIBA TUNAWAKUMBUSHA TU MBONA HALI YA HEWA IMEKUA NZITO HUMU KWANZA MNATUMIA ID ZA KIUME KIASI BADO TUNAENDELEA KUWAKUMBUSHA
πΉπΉ na mwiko wanalamba km chumvi imekolea..!!Usinikumbushe wanajua kuunga mandondo hatar sana π
Utaasikia Lete paprikaπππΉπΉ na mwiko wanalamba km chumvi imekolea..!!
mwache, siku akidedi ndio atajua! saivi mwache alete kiburi cha uzima. uvute hewa ya Mungu kisha useme hayupo!Kama c muumini wa dini yoyote au uwepo wa Mungu sina nafasi zaidi ya kujieleza kuhusu uwepo wake..
na ndo mliobaki wengi duniani ποΈNi single maza tu ndo anapitia hayo?
Acheni kulalama kama watoto wadogo!PUNGUZENI JAZIBA TUNAWAKUMBUSHA TU MBONA HALI YA HEWA IMEKUA NZITO HUMU KWANZA MNATUMIA ID ZA KIUME KIASI BADO TUNAENDELEA KUWAKUMBUSHA
πΉπΉπΉ wii nimecheka eti lete paprika πUtaasikia Lete paprikaππ
ID ya kiume lakini maandishi ya kike aaah lazima ushtuke πTu
Tumesikiaa usilie Sasaππ
Ndo mtulie kama mnanyolewa na si kutupigia nduru!na ndo mliobaki wengi duniani ποΈ
Wewe umeolewa au ni single maza Mbona una hasira sanaππΉπΉ Sugar ishapanda tayari..!!
Sikiliza without mapombou wewe km mwanamke tu.!!
Haya kwa huo uwanaume wako unaongoza nini zaidi ya mkia wako? π€£
Hasira za nini tunawakumbusha tu maana siku hizi mlivyo na stress za utawala mnavuta mimoshi mpaka mnasahau jinsia yenuAcheni kulalama kama watoto wadogo!
Kuna watu bila jitihada za mama zao wasingefika hapo walipo, japokuwa wanao baba. Alafu we nae unakuja kuleta stories za kukaa nyumbani! KINI?!!
πππWii siis hatujui paprika wao wanajua hadi wali wa kufukiza πππΉπΉπΉ wii nimecheka eti lete paprika π
Chuzi zito anatoa kuliko mwanamke..!!