Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
Kazusha, by implication, kwamba ndoa ni kizuizi cha maendeleo kwa mwanamke wa kitanzania. That's not true anymore. I called her an idiot because she seems to truly believe her nonsense.Niambie sentensi moja aliyotuhumu wanaume
Hajasema ni kizuizi! Kama ingekuwa ni kizuizi asingetoa wito kwa wanawake wenye ndoa wajiendeleze, ni sawa na kumwambia mtu asiye na miguu akimbie.Kazusha, by implication, kwamba ndoa ni kizuizi cha maendeleo kwa mwanamke wa kitanzania. That's not true anymore. I called her an idiot because she seems to truly believe this nonsense.
Kama wewe ni mama wa nyumbani na mumeo ana kazi basi chochote anachokipata mumeo kazini kwake ni chenu. Na sheria zinatambua hilo tangu siku nyingiii. Kwahiyo hakuna kuonewa hapo. Ndoa kama ndoa inakua sio tatizo kwako hapo.Nitajie sentensi moja aliyotuhumu wanaume uongo, kama huna unachofanya zaidi ya kazi za nyumbani ambazo hazina mshahara unakuwa unamtumikia nani? Mungu?
Kuna ubaya gani na mimi nikienda kutafuta ili hicho chetu wote kiwe kikubwa zaidi? Vipi siku huko kazini kukiwa hakupo tena? Vipi siku ukiniona mimi nimeshazeeka ukatafuta dogodogo wa kutumia nae? Vipi ikitokea haupo tena duniani?Kama wewe ni mama wa nyumbani na mumeo ana kazi basi chochote anachokipata mumeo kazini kwake ni chenu. Na sheria zinatambua hilo tangu siku nyingiii. Kwahiyo hakuna kuonewa hapo. Ndoa kama ndoa inakua sio tatizo kwako hapo.
Nimegundua watu wenye akili mko.wachache sana hii nchi, wengi wanasikiliza kwa kutumia hisiaAna point nzuri tu labda uwasilishaji haukuwa mzuri sana ila kifupi mwanamke anapaswa kufanya kazi kama ilivyo mwanaume
Kufua na kupika bado pia atafanya maana ndio prestigious zake kama mwanamke kama ilivyo mwanaume ataendelea kumuhudumia mwanamke pengine na kazi yake
Hapa umenisaidia. Ni kalaumu wanaume zaidi kuliko ndoa. Na hapo ndo kanichefua pakubwa. Mwanaume wa kisasa wa Kitanzania hana shida mwanamke kujishughulisha. Tena anashukuru sana. Ni wachache wanapinga.Hajasema ni kizuizi! Kama ingekuwa ni kizuizi asingetoa wito kwa wanawake wenye ndoa wajiendeleze, ni sawa na kumwambia mtu asiye na miguu akimbie.
Usimsikilize huyo. Mwanaume wa kisasa wa Kitanzania hana shida mwanamke kujishughulisha. Tena anashukuru sana. Ni wachache wanapinga.Kuna ubaya gani na mimi nikienda kutafuta ili hicho chetu wote kiwe kikubwa zaidi? Vipi siku huko kazini kukiwa hakupo tena? Vipi siku ukiniona mimi nimeshazeeka ukatafuta dogodogo wa kutumia nae? Vipi ikitokea haupo tena duniani?
Hakuna alipolaumiwa mwanaume, nina uhakika kuhusu hiloHapa umenisaidia. Ni kalaumu wanaume zaidi kuliko ndoa. Na hapo ndo kanichefua pakubwa. Mwanaume wa kisasa wa Kitanzania hana shida mwanamke kujishughulisha. Tena anashukuru sana. Ni wachache wanapinga.
Yupo sahihi ila njia na lugha anayotumia kuwasilisha haikuwa sawa,ila ndo style yake ya kuongea yule kwa wanaomjuaNitajie sentensi moja aliyotuhumu wanaume uongo, kama huna unachofanya zaidi ya kazi za nyumbani ambazo hazina mshahara unakuwa unamtumikia nani? Mungu?
Ametulaumu na kutubagaza kiaina. We noticed that.Hakuna alipolaumiwa mwanaume, nina uhakika kuhusu hilo
Hata yeye anajua hawana shida, anachofanya ni kubadili mentality za wanawake walioridhika kuitwa Mrs fulani badala watoke wajenge uchumi wao, maana tumewasomesha tukitarajia walete maabadiliko chanya kwao binafsi, familia na taifa kwa ujumla.Usimsikilize huyo. Mwanaume wa kisasa wa Kitanzania hana shida mwanamke kujishughulisha. Tena anashukuru sana. Ni wachache wanapinga.
Kwamba kuna wakati huwa mnapata kichaa ππ kwani ni uongo lakini?Ametulaumu na kutubagaza kiaina. We noticed that.
Ilikuwa ni njia yake na yeye ili atrend ujumbe uende mbali zaidiYupo sahihi ila njia na lugha anayotumia kuwasilisha haikuwa sawa,ila ndo style yake ya kuongea yule kwa wanaomjua
Ebu isikilize hii Ng'ombe πππView attachment 3620050
[/QUOTEAkiamua anapata Mume vizuri kabisa. Kila mtu na mtuwe. Kuna atayempendea muonekano wake.Kuna atayempendea hizo degree nne n.k. Kila timu ina mashabiki wake. Maisha matamu sana hayaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hiyo takataka haiwezi kupata mme! Bure kabisa!
Kazi,Biashara,Usomi n.k vinapoondoa haiba ya kike kwa Mwanamke hugeuka kuwa kaburi lake la majuto!Ebu isikilize hii Ng'ombe πππView attachment 3620050