Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

Real real
 
Tunapoelekea wanawake walio tayari na majukumu ya kumtunza mume watakuwa wachache sana.
Wacha wawe wachache… rumors has it kuwa wanaume huwa eventually wanawa-resent wanawake zao ambao wametumikia umama wa nyumbani maisha yao yote, na openly wanawa-compare na wanawake wengine who are doing better out there… Na si hivyo tu huwa inasemekana hawana mchango kwenye familia 😅

Offspring za hawa wamama ndio wameambiwa waende shule na wasikubali kukaa nyumbani. Wameambiwa na mama zao na bibi zao….

Mimi kama mtu ambaye sio muumini wa kuangalia matokeo napenda kuangalia mchakato , Kwanini hakuna tuzo za mama wa nyumbani? kwanini hakuna tuzo za mama aliyefanikiwa kuwalea watoto wake mwenyewe mpaka wakawa significant figures kwenye jamii? Kwanini mama wa nyumbani anayemtunza mumewe na watoto hatumiki kama inspiration? In a contrary… Tuna wapa tuzo wanawake maCEO sijui malkia wa nguvu na blah blah Hakuna mtu amewahi kuliona hili?

Kama sivyo basi jamii collectively tumeifelisha hii taasisi ya ndoa, na tusishangae wanawake kutokuwa inspired kulea waume zao huko miaka ya mbele kama ulivyosema.
 
Kwanini upige mimba umuache? Ni vyema kumuacha bila kumgusa kabisa.

Kumbe mnaitumia mimba kama adhabu, haya tumefahamu.
 
Tuna mshukuru kwa maoni yake , maana yameweza kutujukisha mwanamke ni wa namna gani , wa thamani kiasi gani na aje anapaswa kuthaminiwa.

Hoja yake ina mantiki sana ila kama msomi mwenye shahada 4 uwasilishaji wake haukua mzuri, ni uwasilishaji ambao kwa yoyote anaesikia mara ya kwanza atakerwa.
Nadhani ama naamini kule kusoma kwake hakukosa kujua ama kusoma namna gani ya kuwasilisha jambo katika jamii kisha ivutike kukusikiliza na kukuunga mkono hoja yako.

Hata mimi ambae sija soma kuna nyakati kadhaa nilipata jukwaa la kuwasilisha hoja na maelezo na waliokuwa wananisikiliza walikuwa wasomi wengi ambao sifikii hata asilimia ndogo ya upeo wao ila walivutika kunisikiliza na kuchukua pointi kurekodi kwenye note book zao.
Why ni kwa sababu ya unyenyekevu katika kuwasilisha, ni kujua wanao kusikliza ni aina ya watu wengi wenye kaliba tofauti, wanaojua kuliko wewe nk.
Ndio maana pake juu kuna mtu kasema mwanaume mmoja mlevi anaweza kuwa bora kiakili kuliko wanawake watatu wenye shahada.

Issue ni mwanamke yupo kwenye vita dhidi ya mwanaume, ndio maana hata comment za wanawake zimeonyesha kufurahishwa na jinsi mwanaume anavyo pata mashambulizi na atakavyo shindwa na mwanamke .

Siku zote wasicho fahamu wanawake ama wanafahamu ila ubinafsi wao umewaziba kujua ni kwamba mwanaume hana vita na mwanamke, ndio maana mwanaume yupo tayari kumsaidia mwanamke dhidi ya mwanaume mwenzake.

Popote pale alipofika mwanamke nyuma yake kuna nguvu kubwa ya kiume.
Hakuna hata mmoja kati ya mwanaume ambe kwa dhati kabisa angependa kumtweza mwanamke, ingawa katika uchache visa hivyo haviwezi kosekana na kati ya hivyo vichache sababu inaweza kuwa mwanamke ndie msababishaji.

Mwanaume hamuitaji mwanamke kumpikia wala kumfulia nguo za ndani.
Mwanaume bila mwanamke anaweza maisha,tukitoa uzazi.

Kimaumbile dunia haitaendelea kusimama kama mwanaume hata kuwepo hata mwanamke asome kiasi gani.

Ujanja wa mwanamke msomi ni ofisini tu, dunia haisimami kupitia kazi za ofisi.

Huku site hatuwaoni wanawake , kwa sababu maumbil na mfumo wa ulimwengu hauna wepesi wa mwanamke kusimama mahali pa mwanaume.

Hakuna hata mmoja asie mhitaji mwenzake zi mwanaume na si mwanamke, ila mwanamke ni mbinafsi ma mwenye kutamani siku zote mwanaume asiwepo kwenye maisha yake na ndio maana huwaza sana kifo cha mwanaume wake kuliko mwanaume anavyo muwaza mwanamke.

Mimi ni mwanaume mwenye binti wawili , mwenye mke na ambae nitahakikisha watoto wa kike watasoma vile inavyo takiwa ila ikitanguliwa na kumkuza katiki malezi ya kumfanya daima awe mwanamke anae wajibika kama mwanamke .


Natamani ningemuuliza yule dada mchungaji kwamba alikosa neno la kuanzia kwenye hoja yake akapata la kufua boksa?
 
Ni kweli, ila pia wanawake tu ni kama wanapoteza interest na suala zima la kuhudumia mume kwa kasi kubwa. Hasa hao ambao wanajua kutafuta pesa.
 
Mwenza hivi unadhani mimi naelewa hicho kinachowapanikisha? Hivi watanzania ni wajinga kiasi hiki? Mbona maelezo ya huyo mama yamenyooka tu vizuri?
Siyo Wanaume, sema vijana! Kama Lema alivyosema, huyu mama ana point ila uwasilishaji wa hoja yake ndiyo sifuri!

Kila binadamu anayo malengo yake katika maisha. Mke hata mume huwa na mategemeo yake kabla ya ndoa. Ndiyo maana ukipata Mchumba mnajadiliana kuhusu mstakabari wa unganiko lenu.

Ingawa matarajio hugeuka kadri mnavyosonga mbele katika ndoa yenu.

Nasema hawa wanaobwatuka ni vijana tu! Shida kubwa umri! Ukiwa less than 40, K unaiona ni kitu cha thamani sana. Wengi hawapendi wake zao Wafanye kazi wakihofia wake zao kukazwa. Ujinga mtupu, kwani housewives hawakazwi?
 
That rumor is false my friend. We don't resent our wives. Wanaume wengi wanaochepuka hawaongozwi na chuki. Wanaongozwa na tamaa. Na ndio maana wanaweza kua na michepuko na wakaweza kuhudumia familia zao vizuri sana tu ktk nyanja zote (wengi wao sio wote). Kupitia huohuo uzoefu wao wa kuharibu mabinti za wengine, wanaume wengi sana hawataki binti zao waharibiwe. Na wengi wao wamesomesha binti zao kwasababu hii hii. Wahoji mabinti wengi wanaosomeshwa, wengi wao watakuambia wanalipiwa na baba zao. Na baba zao haohao wapo tayari kumchapa mtu makofi wakimkuta anaonekana kuwarubuni binti zao.
 
Wengine wazee kabisa, kwa makadirio yako unadhani mtoa mada ana miaka ishirini na ngapi?
 
Wanauliza what do you bring to the table, yaani yale mambo unatakayomfanyia nyumbani hayahesabu. Tukisema haya tujamasishane tutafute hicho cha kuleta mezani wanalia 😁
 
Sema tu linamuondolea mwanaume ufalme wake, kwa hiyo povu lote hili mnalotoa ni kwa sababu mnajali sana kuhusu majuto yetu ya baadae?
Kuna mchangiaji hapo juu kasema kweli
Tatizo la wanawake ni kudhani kuwa adui yao ni mwanaume wakati sio kweli
Wanawake hao hao (mkiwemo ninyi) bila wanaume pengine msingekuwa hapo
Kuna mliosomeshwa na wanaume
Wapo ambao wanaalipiwa kodi na wanaume
Mpo ambao nyumba, magari hadi nguo mmenunuliwa na wanaume
Hizi sera na sheria za kumsaidia mwanamke zimepitishwa na wanaume ambao ndio wengi bungeni na nafasi za maamuzi
Lakini mwisho wa siku ni asili ya wanawake kukosa shukurani kwa wanaowasaidia pale wanapofanikiwa na hata kuwazidi wanaume
Simshangai sana huyo mwasilishaji
 
Kama pesa tunatafuta wote, bill za nyumbani tunalipa wote kwa nini wewe unataka kuhudumiwa my friend 😁
Msingi mzima wa furaha ya ndoa ni mgawanyo wa majukumu ya mke na mume kulingana na mazingira yenu.

Anyway, labda sielewi ukisasa unavyofanya kazi. Embu niambie, kwanini mwanamke akifanya kazi haiwezekani kumtunza mume?
 
Rudisha mipira miwili makao makuu yakawe allocated Kwa wenye uhitaji then wewe hamia huko ili ukakamiwe🤣
 
Sema tu linamuondolea mwanaume ufalme wake, kwa hiyo povu lote hili mnalotoa ni kwa sababu mnajali sana kuhusu majuto yetu ya baadae?
Nachangia mada si kwa sababu nina chuki(povu) kwaa wanawake bali ni kwa sababu Mimi ni mwanajamii.

In fact, Mungu amenijaalia Mke ambaye anaona fahari sana kuwa submissive kwangu!. Ama hakika Mungu anajua kuwapa watoto wake vilivyo vyema!

Hata najua fika kuna Wanaume wenzangu kwa kujua au kwa kutokujua wamehusika kwa kiasi fulani kwa nafasi zao kuwaharibu na kuwafanya wanawake wengi muwe 'defensive' badala ya kuwa 'cooperative'. Na ninajua fika kwamba hii ni michezo inayochezwa katika Ulimwengu usioonekana. Ninyi,hasa ambao hamna kinga,mnakuwa wahanga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…