Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utaskia "MI NNA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi!
Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
Hhahahah!Ukianza kuwaelewa wanawake wanachotaka just unaelekea kufa
Mwanamke anaweza kuacha ukiwa hauna Kazi..... Lkn mwanamke huyohuyo anaweza kukuacha ukiwa na Kazi nyingi sana...... Mwanamke hana tofauti na kinyongaInashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utaskia "MI NNA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi!
Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
Umesikika msemaji Mkuu wa Wanawake toka KigiragiraWataje majina, usije kuwaunganisha wote pamoja.
Wengine hawamo humo.
Wewe akili yako fupi ndipo ilipoishia hapo, huwezi kuleta hoja hapa, unaishia kwenye viroja.Umesikika msemaji Mkuu wa Wanawake toka Kigiragira
Ndo waache kulalamika sasa! kwa sababu vitu tu wengi kuliko wanaume wanaowataka!Mtu kutaka kuolewa haimaanishi yuko tayari kuokota kitu chochote na kukifanya mume
[emoji23][emoji23][emoji23]wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi!
Idadi kubwa ya wanawake hawajui wanachotaka.Kwa ufupi hawana misimamo na hawajiamini.Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utaskia "MI NNA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi!
Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
Nimecheka sana mkuu.Wataje majina, usije kuwaunganisha wote pamoja.
Wengine hawamo humo.
Ni kweli na kwa akili hizi za kutojitambua nini hasa unataka plus mood swings mnazokua nazo Mungu aliamua amfanye mwanaume awe mtawala wa viumbe vyote duniani mkiwemo na nyinyiMwanamke anaweza kuacha ukiwa hauna Kazi..... Lkn mwanamke huyohuyo anaweza kukuacha ukiwa na Kazi nyingi sana...... Mwanamke hana tofauti na kinyonga