Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mkuu suala la udhaifu inategemea kwa sababu the world is not all about physical strength tuNinaheshimu maono/mawazo yako.
Hoja yako bado haijaleta mashiko kwangu(mimi binafsi) kwa sababu zifuatazwo;
1.Kwa nini mwanamke alishindwa kuzuia kukandamizwa na mwanaume?Kama mwanaume alimzidi/amemzidi nguvu mwanamke hauoni kuwa tayari wanawake wameonyesha udhaifu? Mwenye nguvu atamtawala dhaifu.
2.Katika upande wa elimu,mimi bado naona mwanamke yuko chini sana.Hata nikisikia mwanamke amekuwa Tanzania One bado haijasaidia mimi kubadilisha fikra hizi.Mimi ninaamini elimu bora ni ile ya kufikiri na siyo kukariri.Katika post yangu utaona nimezungumzia watu/wanasayansi ambao waligundua vitu.Hata leo ukienda ulaya bado wanaume wametia fora katika modern physics wakiingiza theories mpya katika muda wa miaka kati ya 2000 hadi 2022.Hii elimu yetu ya Tanzania ni hovyo kabisa.Watu wanashindana kukariri tu.
Hapa Tanzania elimu ipo at least kwa vyuo vya kati,ufundi na vyuo vikuu.Ambapo asilimia kubwa ya waliotoka na kuacha ideas mpya ni wanaume.Hata ile elimu ya mkoloni tuliorithi 1960s,mnamo 1963 ilitupatia mwanasayansi mmoja pekee hadi leo ambaye alikuwa mwanaume ERASTO MPEMBA aliyeleta MPEMBA EFFECT FACT.
Mimi siwezi muwezesha mwanamke alafu aje lingana na mimi.Ajiwezeshe mwenyewe Ili aweze kulingana na mimi hata akija kunizidi itapendeza zaidi,ila ajiwezeshe mwenyewe.Tatizo wanawake wanapenda kulia lia sana ili kutafuta huruma kwa jamii(wanaume).
Tazama hizi attachments katika tano bora hakuna mwanamke hata mmoja katika karne ya 21.Wanawake wasikie 50/50 kwenye bomba.
#Maoni yangu.View attachment 2248362View attachment 2248363View attachment 2248364View attachment 2248365View attachment 2248366View attachment 2248367View attachment 2248368
Mbona kwenye masuala ya ngono na mapenzi (moja ya mambo yanayorun dunia) wanaume ni dhaifu kuliko wanawake
Anyway ondoeni mfumo dume msiwapangie wanawake sheria wala msiwalimit kufanya mambo fulani then sit aside and watch the show mbona mkiambiwa muache mfumo dume hamtaki mnaogopa nini si muuache muone