VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
Ninaheshimu maono/mawazo yako.Yes mwanamke ilibidi awezeshwe na mwanaume kwa sababu ni mwanaume huyo huyo ndiye aliyemkandamiza mwanamke in the first place
Mwanaume ndiye aliyeshikilia mifumo yote na kumnyima uhuru mwanamke kwahiyo ili mwanamke aweze kupenya kwenye mfumo ilibidi apitie kwa mwanaume
Na hiyo ni kwa sababu tu mwanaume amemzidi nguvu mwanamke ila kwenye akili wewe mwenyewe unajionea wanawake wengi wa sasa walivyo baada ya kuwezeshwa
Hoja yako bado haijaleta mashiko kwangu(mimi binafsi) kwa sababu zifuatazwo;
1.Kwa nini mwanamke alishindwa kuzuia kukandamizwa na mwanaume?Kama mwanaume alimzidi/amemzidi nguvu mwanamke hauoni kuwa tayari wanawake wameonyesha udhaifu? Mwenye nguvu atamtawala dhaifu.
2.Katika upande wa elimu,mimi bado naona mwanamke yuko chini sana.Hata nikisikia mwanamke amekuwa Tanzania One bado haijasaidia mimi kubadilisha fikra hizi.Mimi ninaamini elimu bora ni ile ya kufikiri na siyo kukariri.Katika post yangu utaona nimezungumzia watu/wanasayansi ambao waligundua vitu.Hata leo ukienda ulaya bado wanaume wametia fora katika modern physics wakiingiza theories mpya katika muda wa miaka kati ya 2000 hadi 2022.Hii elimu yetu ya Tanzania ni hovyo kabisa.Watu wanashindana kukariri tu.
Hapa Tanzania elimu ipo at least kwa vyuo vya kati,ufundi na vyuo vikuu.Ambapo asilimia kubwa ya waliotoka na kuacha ideas mpya ni wanaume.Hata ile elimu ya mkoloni tuliorithi 1960s,mnamo 1963 ilitupatia mwanasayansi mmoja pekee hadi leo ambaye alikuwa mwanaume ERASTO MPEMBA aliyeleta MPEMBA EFFECT FACT.
Mimi siwezi muwezesha mwanamke alafu aje lingana na mimi.Ajiwezeshe mwenyewe Ili aweze kulingana na mimi hata akija kunizidi itapendeza zaidi,ila ajiwezeshe mwenyewe.Tatizo wanawake wanapenda kulia lia sana ili kutafuta huruma kwa jamii(wanaume).
Tazama hizi attachments katika tano bora hakuna mwanamke hata mmoja katika karne ya 21.Wanawake wasikie 50/50 kwenye bomba.
#Maoni yangu.