Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
H
Haya nimekuelewa mpigania wanawake. Ipo siku utasema wana haki ya kuolewa na wanaume wawili kwa wakati 1. 👋🏻Wewe una mawazo finyu ya ku assume vitu.
Ume assume kila anayetetea wanawake ni mwanamke.
Mimi si mwanamke.
Mpaka hapo tu ushaonesha mawazo yako yalivyo finyu.
Na kuhusu hiyo asilimia kubwa, huna data, unakwenda kwa hisia tu.
Na hata kama ikiwa 99% ya wanawake wako hivyo, wanataka wanaume waliofanikiwa tayari, so what?
Wana uhuru wa kuchagua mwanamme wanayemtaka. Waache watafute kutimiza ndoto zao. Unataka kuwalazimisha wapende wasichopenda?
Sasa unataka kuwalazimisha wawe na mwanamme ambaye hawamtaki?
Wewe kama ni peasant hangaika na hiyo 1% ya wanaotaka peasants wenzako.
Kwa nini unawafuatilia sana watu wasiokutaka na unaacha kuwafuatilia sana watu wanaokutaka?