Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

H
Wewe una mawazo finyu ya ku assume vitu.

Ume assume kila anayetetea wanawake ni mwanamke.

Mimi si mwanamke.

Mpaka hapo tu ushaonesha mawazo yako yalivyo finyu.

Na kuhusu hiyo asilimia kubwa, huna data, unakwenda kwa hisia tu.

Na hata kama ikiwa 99% ya wanawake wako hivyo, wanataka wanaume waliofanikiwa tayari, so what?

Wana uhuru wa kuchagua mwanamme wanayemtaka. Waache watafute kutimiza ndoto zao. Unataka kuwalazimisha wapende wasichopenda?

Sasa unataka kuwalazimisha wawe na mwanamme ambaye hawamtaki?

Wewe kama ni peasant hangaika na hiyo 1% ya wanaotaka peasants wenzako.

Kwa nini unawafuatilia sana watu wasiokutaka na unaacha kuwafuatilia sana watu wanaokutaka?
Haya nimekuelewa mpigania wanawake. Ipo siku utasema wana haki ya kuolewa na wanaume wawili kwa wakati 1. 👋🏻
 
Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utaskia "MI NNA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi!

Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
Hivi nakuaga shida mm wakuu mana daaah ni real situation kabisa hii [emoji846]
 
H

Haya nimekuelewa mpigania wanawake. Ipo siku utasema wana haki ya kuolewa na wanaume wawili kwa wakati 1. [emoji1309]
Mimi si mpigania wanawake.

Mimi nataka watu wote waachiwe uhuru wao wa kujiamulia mambo yao bila unanyapaa.

Usinidogoshe.
 
Mkuu unaishi wapi,? Huku kwetu kila mwanamke yupo single, ni muonekano wako tu na mfuko wako, hata awe mke wa mtu anaweza kukuambia yupo single.
 
Mimi si mpigania wanawake.

Mimi nataka watu wote waachiwe uhuru wao wa kujiamulia mambo yao bila unanyapaa.

Usinidogoshe.
Sawa. Uhuru ukizidi maadili mema yatapotea. Kuna mambo lazima yakemewe. Kila mtu akitaka kuwa huru dunia itakua sehemu mbaya. Imagine kwa kila kitu
 
Sasa maadili mema kwa nini yawe yanatoka kwako?

Wengine watakwambia mtu mmoja kumpangia maisha mtu mwingine kwenye masuala ya ndoa na mapenzi si maadili mema.

Ni mtu mmoja kutaka kum control mtu mwingine.
 
Maadili mema yapaswa kutoka kwa kila mtu maana maisha ni kutegemeana ndio maana mwanao analelewa na walimu pia shuleni na pia akiemda msikitini au kanisani analelewa pia au kufundishwa pia na wachungaji au ustadhi
 
Idadi kubwa ya wanawake hawajui wanachotaka.Kwa ufupi hawana misimamo na hawajiamini.

Ndiyo maana ukimpa mwanamke madaraka wengi wao wanaanza kufanya vitu kwa mihemko na sio akili.Siku zote huwa wanaona wanadharauliwa hivyo wanaghafirika haraka na kutoa maamuzi yasiyo sahihi.

Rejea waandishi wa kazi za fasihi kama wa Ngoswe penzi kitovu cha uzembe katika uwanja wa maudhui wa fasihi.Hata wao walikuwa wanamchora kama kiumbe kisicho na msimamo katika jamii.

#Maoni yangu.

..wanawake hawajiamini sababu mfume dume umetamalaki, mwanamke anachukuliwa kama weak human being..sasa kama huo ndio mtazamo wa jamii, utaacha kutojiamini? ondoa mfumo dume, wanawake na wanaume wana equal abilities za kufanya maamuzi sahihi...
 
Nyie mlishindwa fanya maamuzi sahihi pale eden ndio itakuwa leo
 
Akili ni nini?

Sasa wewe mwenyewe hujui unataka nithibitishie akili ipo au haipo.

Yani wewe mwenyewe hujui unataka nithibitishe nini.

Mimi nitakuthibitishiaje wewe kitu ambacho wewe mwenyewe hujui unataka nithibitishe nini?
Nilijua tu kuwa lazima utarukaruka kujichanganya bila ya kunipatia jibu sahihi, ukome kubwabwaja kuhusu uwepo wa Mungu ikiwa vitu vidogo tu kama "akili" unashindwa kuthibitisha.
 
..wanawake hawajiamini sababu mfume dume umetamalaki, mwanamke anachukuliwa kama weak human being..sasa kama huo ndio mtazamo wa jamii, utaacha kutojiamini? ondoa mfumo dume, wanawake na wanaume wana equal abilities za kufanya maamuzi sahihi...
Mfume dume ni kitu ambacho kimetokea by nature.Hivi ushawahi jiuliza tangu mwanadamu wa kwanza atokee katika uso wa dunia,historia inaonesha kuwa mwanaume alikuwa anamamlaka zaidi ya mwanamke.

Hivi kitu gani kilipelekea mwanaume kuwa juu?Alikuwa na nguvu ya mwili?Alikuwa na akili zaidi ya mwanamke?aliweza kuongoza jamii kumshinda mwanamke?n.k

Kama wanawake mlishindwa kuondoa mfumo dume tangu karne ya kwanza ndiyo iwe karne hii?Ina maana akili zenu zimepevuka karne hii?

Kama mtasema mlikuwa mnanyimwa elimu,hiyo elimu ilianzishwa kwa kiasi kikubwa na mwanamme au mwanamke? Obviously ilianzishwa na mwanaume Kwa asilimia kubwa.Takwimu zipo bayana wanasayansi waliogundua facts wengi ni wanaume hivyo 50/50 ni uongo.Marie Curie ndiye kati ya wanawake pekee waliyoandika historia kuwa mwanasayansi bora wakizungukwa na vidume kibao akina Newton, Einstein, Rutherford,Charles,Faraday,Da vinc, Archimedes, Aristotle n.k

Sasa kama mlishindwa kutoa wanawake ambao wangeweka 50/50 katika dunia iliyokuwa na uchu wa elimu ambayo imeleta matunda ya kiteknolojia hadi karne hii toka karne ya 18-19.Ina maana mlikuwa wadhahifu kiakili.

Vile vile katika uongozi.Tangu enzi na enzi wanaume ndiyo walikuwa watawala.Sasa kipindi wanaanzisha hizo tawala nyie wanawake mbona mlibaki nyuma au ndiyo wanaume walikuwa wanawaonea?Kwa nini ninyi mkashindwa kupambania madaraka na kuwa watawala kwa usawa wa 50/50 angalau ingeandikwa historia ya malkia wa dola ya Ghana, Songhai,Ukimbu,Buganda n.k.Alafu ndiyo katika karne hii akili zenu ziweze kuongoza?

Cha ajabu na cha kunishangaza ni pale mnaposema mwanamke akiwezeshwa anaweza.Akiwezeshwa na nani? Mwanamke mwenzake?Na huyo mwanamke mwenzake aliwezeshwa na nani kulingana na falsafa ya kauli mbiu yenu? Obviously hapa mmetaka muwezeshwe na wanaume.Ina maana mwanamke ni kiumbe dhaifu ambaye anategemea kuweseshwa na mwanaume.Sasa hiyo 50/50 itatoka wapi?

Yes mwanamke ilibidi awezeshwe na mwanaume kwa sababu ni mwanaume huyo huyo ndiye aliyemkandamiza mwanamke in the first place

Mwanaume ndiye aliyeshikilia mifumo yote na kumnyima uhuru mwanamke kwahiyo ili mwanamke aweze kupenya kwenye mfumo ilibidi apitie kwa mwanaume

Na hiyo ni kwa sababu tu mwanaume amemzidi nguvu mwanamke ila kwenye akili wewe mwenyewe unajionea wanawake wengi wa sasa walivyo baada ya kuwezeshwa
 
Nilijua tu kuwa lazima utarukaruka kujichanganya bila ya kunipatia jibu sahihi, ukome kubwabwaja kuhusu uwepo wa Mungu ikiwa vitu vidogo tu kama "akili" unashindwa kuthibitisha.
Wewe unataka nithibitishe kitu ambacho umeshindwa hata kuki define?

Yani, unaniambia nikutafsirie ndoto.

Nakwambia sawa, niambie ndoto yako basi nikutafsirie.

Unaniambia huijui hiyo ndoto.

Sasa mimi nitakutafsiria vipi ndoto ambayo hata wewe mwenyewe huijui?
 
Maadili mema yapaswa kutoka kwa kila mtu maana maisha ni kutegemeana ndio maana mwanao analelewa na walimu pia shuleni na pia akiemda msikitini au kanisani analelewa pia au kufundishwa pia na wachungaji au ustadhi
Sasa kama madili mema yanatoka kwa kila mtu, na hao wanawake wanapenda kujichagulia mtu wa kuwa naye, wewe unaona kuwachagulia au kuwalazimisha wawe na mtu wasiyemtaka ni maadili mema?

Wewe ukilazimishwa kuwa na mtu usiyempenda utaona sawa?
 
Mfume dume ni kitu ambacho kimetokea by nature.Hivi ushawahi jiuliza tangu mwanadamu wa kwanza atokee katika uso wa dunia,historia inaonesha kuwa mwanaume alikuwa anamamlaka zaidi ya mwanamke.

Hivi kitu gani kilipelekea mwanaume kuwa juu?Alikuwa na nguvu ya mwili?Alikuwa na akili zaidi ya mwanamke?aliweza kuongoza jamii kumshinda mwanamke?n.k

Kama wanawake mlishindwa kuondoa mfumo dume tangu karne ya kwanza ndiyo iwe karne hii?Ina maana akili zenu zimepevuka karne hii?

Kama mtasema mlikuwa mnanyimwa elimu,hiyo elimu ilianzishwa kwa kiasi kikubwa na mwanamme au mwanamke? Obviously ilianzishwa na mwanaume Kwa asilimia kubwa.Takwimu zipo bayana wanasayansi waliogundua facts wengi ni wanaume hivyo 50/50 ni uongo.Marie Curie ndiye kati ya wanawake pekee waliyoandika historia kuwa mwanasayansi bora wakizungukwa na vidume kibao akina Newton, Einstein, Rutherford,Charles,Faraday,Da vinc, Archimedes, Aristotle n.k

Sasa kama mlishindwa kutoa wanawake ambao wangeweka 50/50 katika dunia iliyokuwa na uchu wa elimu ambayo imeleta matunda ya kiteknolojia hadi karne hii toka karne ya 18-19.Ina maana mlikuwa wadhahifu kiakili.

Vile vile katika uongozi.Tangu enzi na enzi wanaume ndiyo walikuwa watawala.Sasa kipindi wanaanzisha hizo tawala nyie wanawake mbona mlibaki nyuma au ndiyo wanaume walikuwa wanawaonea?Kwa nini ninyi mkashindwa kupambania madaraka na kuwa watawala kwa usawa wa 50/50 angalau ingeandikwa historia ya malkia wa dola ya Ghana, Songhai,Ukimbu,Buganda n.k.Alafu ndiyo katika karne hii akili zenu ziweze kuongoza?

Cha ajabu na cha kunishangaza ni pale mnaposema mwanamke akiwezeshwa anaweza.Akiwezeshwa na nani? Mwanamke mwenzake?Na huyo mwanamke mwenzake aliwezeshwa na nani kulingana na falsafa ya kauli mbiu yenu? Obviously hapa mmetaka muwezeshwe na wanaume.Ina maana mwanamke ni kiumbe dhaifu ambaye anategemea kuweseshwa na mwanaume.Sasa hiyo 50/50 itatoka wapi?

#Maoni yangu.

Mkuu kwa hio umekubali kuna mfumo dume sio? maana nimeona umesema mfumo dume ni nature..embu kama umekubali kuna mfumo dume, sasa jiweke kwenye viatu vya wanawake..je kweli wewe ungekuwa unachukuliwa na jamii kama ni kiumbe dhaifu..ungejiamini?!...maana previous posti yako ilikua inahusu kujiamini kwa wanawake...kuwa ni watu tusiojiamini....

Kugundua facts na elimu sijui technology, mfumo dume umeathiri hili, mwanamke nafasi yake ni nyumbani, utaexplore facts saa ngapi?..... sana sana utagundua kupika visheti 🤣, nachotaka kukuonyesha hapo hakuna mizani sawa....more over, unamjengea kutojiamini, hata kama alikua na ideas ambazo zingeweza kubadilisha ulimwengu je angekuja foward....??

Both boys na girls wana the same IQ sasa kwa nini useme sisi wanawake hatuna uwezo sawa na nyie? una base argument yako kwenye number of scientists? hujui ukitoa influence ya mazingira (mfume dume), wanawake na wanaume wana equal abilities?????...na ndio maana jinsi mfumo dume unavyopungua ndivyo unaona rise ya wanawake/girls into STEM courses....and yes i believe mfumo dume ukitoka tutaona scientists wengi tu wanawake!...watakaokuja na 'Facts'...LOL

Kuhusu tawala, wanaume by nature wako physically aggressive, na ukiangalia tawala nyingi zimejengwa kwa mabavu, na sio akili, ondoa mfumo dume, wanawake na wanaume wana uwezo sawa wa kuongoza....

Ofcourse, lazima tusapotiane, lol

..
 
Sasa kama madili mema yanatoka kwa kila mtu, na hao wanawake wanapenda kujichagulia mtu wa kuwa naye, wewe unaona kuwachagulia au kuwalazimisha wawe na mtu wasiyemtaka ni maadili mema?

Wewe ukilazimishwa kuwa na mtu usiyempenda utaona sawa?
Kulazimisha mtu sio.sawa kulingana na maamuzo yake lakini, kumkanya au kumaasa ni jambo jema
 
Back
Top Bottom