Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

Ninaheshimu maono/mawazo yako.

Hoja yako bado haijaleta mashiko kwangu(mimi binafsi) kwa sababu zifuatazwo;
1.Kwa nini mwanamke alishindwa kuzuia kukandamizwa na mwanaume?Kama mwanaume alimzidi/amemzidi nguvu mwanamke hauoni kuwa tayari wanawake wameonyesha udhaifu? Mwenye nguvu atamtawala dhaifu.

2.Katika upande wa elimu,mimi bado naona mwanamke yuko chini sana.Hata nikisikia mwanamke amekuwa Tanzania One bado haijasaidia mimi kubadilisha fikra hizi.Mimi ninaamini elimu bora ni ile ya kufikiri na siyo kukariri.Katika post yangu utaona nimezungumzia watu/wanasayansi ambao waligundua vitu.Hata leo ukienda ulaya bado wanaume wametia fora katika modern physics wakiingiza theories mpya katika muda wa miaka kati ya 2000 hadi 2022.Hii elimu yetu ya Tanzania ni hovyo kabisa.Watu wanashindana kukariri tu.

Hapa Tanzania elimu ipo at least kwa vyuo vya kati,ufundi na vyuo vikuu.Ambapo asilimia kubwa ya waliotoka na kuacha ideas mpya ni wanaume.Hata ile elimu ya mkoloni tuliorithi 1960s,mnamo 1963 ilitupatia mwanasayansi mmoja pekee hadi leo ambaye alikuwa mwanaume ERASTO MPEMBA aliyeleta MPEMBA EFFECT FACT.

Mimi siwezi muwezesha mwanamke alafu aje lingana na mimi.Ajiwezeshe mwenyewe Ili aweze kulingana na mimi hata akija kunizidi itapendeza zaidi,ila ajiwezeshe mwenyewe.Tatizo wanawake wanapenda kulia lia sana ili kutafuta huruma kwa jamii(wanaume).

Tazama hizi attachments katika tano bora hakuna mwanamke hata mmoja katika karne ya 21.Wanawake wasikie 50/50 kwenye bomba.

#Maoni yangu.
 
Siamini kuwa wanaume kwa wanawake wana IQ zinazofanana.Tafiti rahisi ni kuwa ulaya imejenga misingi ya 50/50 kisheria.Ila bado best scientists karne 21 huko ulaya ni wanaume wote katika tano bora.

Hiyo juu ni moja ya sababu zangu tu katika uwezo wa kiakili baina ya jinsia hizi mbili.Siwezi leta sababu nyingine kwa sababu ni ngumu kuelezeka katika maandishi ya hapa Jamii Forum.

Akili ni jambo pana lenye nyanja nyingi.Ingekuwa rahisi wewe kunielewa mimi au mimi kukuelewa wewe kama kungekuwa na desturi ya kuwa tunajuana,tunaishi mazingira yanayofana mfano kazini au mtaani.Ambapo unaanza kusoma saikolojia pamoja na intelejensia ya mtu.

But behind JF keyboard only scientific facts can grant the favor to which gender does better in intelligence or reasoning capability.

#Maoni yangu.
 
Kulazimisha mtu sio.sawa kulingana na maamuzo yake lakini, kumkanya au kumaasa ni jambo jema
Unamkanya vipi mwanamke kufanya kitu asichokipenda kwenye mapenzi/ ndoa, hususan kwenye uchaguzi wa mpenzi/ mume?

Yani mtu hakupenndi, wewe mbaya kwake, au humvutii, unataka kumkanya akupende?
 
Unamkanya vipi mwanamke kufanya kitu asichokipenda kwenye mapenzi/ ndoa, hususan kwenye uchaguzi wa mpenzi/ mume?

Yani mtu hakupenndi, wewe mbaya kwake, au humvutii, unataka kumkanya akupende?
Basi mkuu tuishie hapo. 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 

Mkuu, Mfumo dume ulikuwepo kote,(according to you ni nature), ulaya nayo is not exception, sema wanawake wa huko wamekua na movements nyingi, kwa hio somehow wamekuwa free na huo mfumo siku nyingi,ila sio kama hukuwepo... sijui kama umenielewa niliposema girls ambao wanakua enrolled kwenye STEM courses kwa wingi zaidi sasa kuliko kipindi cha nyuma huko huko ulaya unakosema, so yes kama wanawake na wanaume wana IQ sawa basi tutegemee wanawake scientists soon!

Bado hujaprove sisi hatuna uwezo sawa na nyie, wala hatuwezi kuweka maamuzi ya kuongoza..lol...kusema wewe huamini...hio sio 'Fact'..lol
 
Ndiyo maana nikasema ni maoni yangu, na yatabaki kuwa maoni yangu(mimi binafsi).
 
Mhhhh makubwa tena haya
 
Wenye ujumbe wao wameshaelewa
Umewanyanyapaa wengine kwa kusema wengi bila data.

Tafuta wako, tulia naye, acha kelele.

Hapo ndipo tunapotenganisha wavulana na wanaume.


Lyrics

Find yourself a girl and settle down
Live a simple life in a quiet town
Steady as she goes (steady as she goes)
Steady as she goes (steady as she goes)
So steady as she goes

Your friends have a shown a kink in the single life
You've had too much to think, now you need a wife
Steady as she goes (steady as she goes)
So steady as she goes (steady as she goes)

Well, here we go again
You've found yourself a friend that knows you well
But no matter what you do
You'll always feel as though you tripped and fell
So steady as she goes
When you have completed what you thought you had to do
And your blood's depleted to the point of stable glue
Then you'll get along
And then you'll get along
Steady as she goes (steady as she goes)
So steady as she goes (steady as she goes)

Well, here we go again
You've found yourself a friend that knows you well
But no matter what you do
You'll always feel as though you tripped and fell
So steady as she goes
Steady as she goes

Settle for a world, neither up or down
Sell it to the crowd that is gathered 'round
Settle for a girl, neither up or down
Sell it to the crowd that is gathered 'round
So steady as she goes (steady as she goes)
Steady as she goes (steady as she goes)
Steady as she goes (steady as she goes)
So steady as she goes (steady as she goes)
Steady as she goes, are you steady now?
Steady as she goes, are you steady now?
Steady as she goes, are you steady now?
Steady as she goes, are you steady now?
Steady as she goes

Source: Musixmatch
Songwriters: Jack White / Brendan Benson
Steady, as She Goes lyrics © Chrysalis Music, Third String Tunes, Gladsad Music, Songs Of Universal Inc.
 
Wanaume tunaojitambua tunawasifia wanawake, hatuwasengenyi.

Msikilize player Mr. Vegas anawasifia wanwake na kuwa empower.

Ukiona mwanamme anawasengenya wanawake, huyo loser.

I mean, mwanamme successful anayejitambua anaanzaje kulalamika kuhusu wanawake?

Mr. Vegas - Heads High

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…