Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

Mkuu suala la udhaifu inategemea kwa sababu the world is not all about physical strength tu

Mbona kwenye masuala ya ngono na mapenzi (moja ya mambo yanayorun dunia) wanaume ni dhaifu kuliko wanawake

Anyway ondoeni mfumo dume msiwapangie wanawake sheria wala msiwalimit kufanya mambo fulani then sit aside and watch the show mbona mkiambiwa muache mfumo dume hamtaki mnaogopa nini si muuache muone
 
πŸ€”πŸ€”
 
Wa mtandaoni ni manungayembe!! Nungayembe hata akiwa na wanaume 10 bado atakwambia anataka mwingine.
 
Si wanakuangalia kwanza kama uko na gari, wallet imetuna ... Alaf hayo mengine mtajua mbele
 
Wataolewa na nani wakati ukimsalimia tyu yeye anawaza kukuomba vocha ata salamu ataki
 
Mwanamke anaweza kuacha ukiwa hauna Kazi..... Lkn mwanamke huyohuyo anaweza kukuacha ukiwa na Kazi nyingi sana...... Mwanamke hana tofauti na kinyonga
Au unampa pesa na chochote anachotaka ila analalika haumjali!
 
Baadhi ya watu kwenye jamii yetu wana tabia mbaya sana ya kuwalundika watu pamoja.

Sijui ni mabaki ya Ujamaa au ujima.
Mkuu kiranga kama hauchakati mbususu Kwa fujo utaona wanawake ni waaminifu mno na ni viumbe wa kustahili huruma ila ukizichakata mpka unuke mbususu utagundua hawa viumbe hawaelewek , unakuta mdada anaheshimika na jamii nzima ila kuna mhuni anaichakata kichakani.
 
Inategemea unaongelea wanawake gani, wa wapi, wenye elimu gani, wenye exposure gani etc.

Usilaumu wanawake kwa sababu wanawake wa kijijini kwenu washamba.

Kama wanawake wa kijijini kwenu washamba, sema wanawake wa kijijini kwenu washamba.

Unaweza kufikiri tatizo ni wanawake, kumbe ukakuta tatizo ni kiwango cha elimu kijijini kwenu.
 
Mkuu hatuwalaumu kbsa , tunawachukulia tu kma vyombo vya starehe basi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…