Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Swahili is my second language, ndio hivyo, labda upate zombie kama wewe ndio utam control. Shame on you

Sent from my iPhone using JamiiForums
I don't give a shit if it's your third language or fourth.
Hapo ulipo unaonekana tayari ushakua controlled. Maana povu Limekutoka kama lote yaani
 
Mwisho wa siku sehemu zinakua so za siri tena as kila mtu anakua kashaziona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Danganya wenzio uwaharibie...ujue hiyo familia ya kifalme ina miiko na taratibu zao za Uingereza...Huyu dada wakiona ana kiherehere kilichozidi wataangalia kile kilichompata Princess Diana...option zote ziko mezani

Usiangalie hii issue kienyeji kienyeji kama ndoa zenu za Manzese kule Tandale...za Kuwekana kwenye chupa kumbe hamna kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…