hb Mujahideen
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 152
- 164
Na nyie mtagawa hadi itanuke iwe kama pango, maana kumpata wa kukubali kudeki n kazi, so njia ya kumpata lzm upitie kugawaHii century nyingine mtapiga deki na kupika no time
I don't give a shit if it's your third language or fourth.
Hapo ulipo unaonekana tayari ushakua controlled. Maana povu Limekutoka kama lote yaani
Duuh... acha kunisemea hivyo basi dada Rebecca, now here is a simple description about me...Hata wewe chance ya kuoa ni ndogo, uko kwenye group zenye low opinion about women kwa muktadha huu huoi ng’o..
Ngoja nikija ntazinyoosha wala usijali acha tu zivunjike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie watu mnanivunja mbavu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kumbe tusipokuwa watulivu na nyie mtaendelea kuwa makatili??[emoji56][emoji56]Kama hamuelewi afanyaje sasa!?
Wanaume huwa mnapelekea mabinti wa watu kuwa na roho za kikatili namna hiyo..
Kama mngekuwa watulivu tu sidhani Kama yote hayo yangetokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Waache tu wajifanye kutunishiana misuli na sisi.Na sisi sasa tutaanza kuwakaanga na magunia ya mkaa
Ngomo droo inaitwa iyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ulaya au kwingineko hili analozungumza mleta mada halipo.Sio Africa
Damn..!!! i am speechless now let my speachlessness precede that miraculous love..[emoji173][emoji173][emoji173] siongei kitu nisije nikaharibu
Vile natembea baada kumaliza kusoma hii comment.[emoji1298]Nadhani tutaishia kuoana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji854][emoji854][emoji854]
Mimi nadhani kinamfanya hasa wawili wajiondoe kwenye hii Royal family wala hata sio huyo dada bali ni Prince Harry mwenyewe jinsi familia inavyomchukulia.Danganya wenzio uwaharibie...ujue hiyo familia ya kifalme ina miiko na taratibu zao za Uingereza...Huyu dada wakiona ana kiherehere kilichozidi wataangalia kile kilichompata Princess Diana...option zote ziko mezani
Usiangalie hii issue kienyeji kienyeji kama ndoa zenu za Manzese kule Tandale...za Kuwekana kwenye chupa kumbe hamna kitu...
Damn..!!! i am speechless now let my speachlessness precede that miraculous love..[emoji173][emoji173][emoji173] siongei kitu nisije nikaharibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vile natembea baada kumaliza kusoma hii comment.[emoji1298]View attachment 1322480
Sent using Jamii Forums mobile app
Watawakatili hadi akili iwakae sawa.Kwa hiyo kumbe tusipokuwa watulivu na nyie mtaendelea kuwa makatili??[emoji56][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikija ntazinyoosha wala usijali acha tu zivunjike[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata dada Rebecca ana sifa nzuri tu ila ukaanza kumsema Kama hataolewa..Duuh... acha kunisemea hivyo basi dada Rebecca, now here is a simple description about me...
I'm very caring and kinda hearted guy whose love to others is flawless,immeasurable,unquantifiable and priceless.
I'm very committed in my relationship and always i am ready to give huge sacrifice for mutual benefits
I'm always there to give my all through thick and thin and make sure our love never die.
I will always be there to push my boo to her God-given potentials and test the sweet experience of new life reserved for her.
I will always stand by her to maintain focus on her goals,ambitions,visions and make sure she materialize them perfectly.
I will be there to protect her and i won't use my masculinity to harass her physically.
I will always be willing to admit when i am wrong and face the truth and even to apologize.
I won't juxtapose my respect to her with her past sexual decency/indecency, she has already got it even before we meet.
I won't have a time to snoop on her phone and i won't mind to let her using mine any time she needs it.
I won't weaponize my money to make her uncomfortable, instead i will use that money to give the lavish lifestyle that will make her friends jealousy.
I will always be there to foot all the bills and i won't allow her to use her dim because i am very okay with this "your money is our money, but my money is my money" mentality.
I am very good looking guy with all gentleman characters and more important i am Good fearing son
In nutshell i'm every woman's dream man.
Sasa kweli dada Rebeca mwanaume kama mimi nakosaje mke jamani?? Eheee...[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muige Sana huyo mwenzio,jidai unampa sapoti.. yeye alishakaa huko anakujua vizuri na hatamani kurudi huko,Waache tu wajifanye kutunishiana misuli na sisi. View attachment 1322464
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] acha tuu awekwe kwenye chupa..... Sasa alifata Nini kwa michepuko
Kwamba na nyie mmeamua iwe tit for tati ama? Mtaweza lakini?Watawakatili hadi akili iwakae sawa.
Ukifwatilia visa vya hayo matukio utagundua chanzo Ni wanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app