Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Mimi I run the show mume wangu akifanya mchezo amekwisha .Pesa zake zetu zangu zakwangu peke yangu
Huyo umemuokota ,ingekuwa mimi ungeshanyenyua mikono juu hutaki sepa ,namshukuru Mungu hakuniumba kupenda kwa ujinga wala kuwa mtumwa wa k japo wapo wenzangu wengi nawaona wako hivyo na wanashindwa wafanyaje wananishangaza sana
 
Hakuna mtu anakukataza usisome hata mm binti yangu namhimiza kusoma,ishu ni kwamba ukiitumia elimu yako kama silaha utafeli vibaya na bahati mbaya wanaume wengi hawaoi wanawake wenye vipato kuwazidi au kukaribia so lazima ujiandae kwa left overs.
Kizazi kijacho wote watakuwa wamesoma ila je una pesa? kama huna utaburuzwa kama kawa,ili usavive lazima uwe mtii hapo utatafutiwa kibiashara cha kujishikiza upate za saluni na pchu so hutakuwa na jeuri coz huna hela
Nioe mwanamke mwenye pesa au kazi tunalingana nimerogwa? Naoa mwanamke mwenye kipato cha kujikimu tuu ili awe dependant kwangu ndio tutaheshimiana
 
Mimi nachojua mwanaume ndio anasimamia shoo ya kipato cha nyumba. Labda mwanamke aamue kumsaidia mume. Ila jukumu hilo ni letu na hatupaswi saidiwa
wala kuhojiwa yeye aweke bili tu mezani full stop,unahoja unajua zinakopatikana?
 

Ebwana ee wee. Aona umewajulia wanawake. Hingera yaani mie nashangaa kabisa mwanaume u aumizwa kichwa na mwanamke amabaye ndani ya dakika sifuri mbadala wake anapatikana fasta fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…