Wanawake mlikofikia tunawaombeni mtupumzishe kidogo. Hii ni fashoni au ujinga?

Wanawake mlikofikia tunawaombeni mtupumzishe kidogo. Hii ni fashoni au ujinga?

Naomba nisizungumze mengi...View attachment 2849159
Pazia la patakatifu pa patakatifu limepasuka katikati ili watu wachungulie na kuona! Kabla ya hapo ni "kuhani" ndo aliruhusiwa kuingia kuona. Ikiwa na maana kwa mwanamke sehemu zenye matamanio kama mapaja, makalio, kitovu, kifua na chuchu, makwapa ni sehemu ambazo mme tu ndo alikuwa anaziona! Sasa baada ya pazia kukatika vipande viwili watu wakajua kuwa kumbe makuhani walikuwa wanawadanganya hata sanduku la agano halikuwepo! Mambo yoote hadharani! Mwenye akili na afahamu
 
Back
Top Bottom