Wanawake mlikofikia tunawaombeni mtupumzishe kidogo. Hii ni fashoni au ujinga?

Wanawake mlikofikia tunawaombeni mtupumzishe kidogo. Hii ni fashoni au ujinga?

Ndo maajabu Yani anatoka nyumbni kwake amevaa anakazi ya kujishikashika kujizuia 😂😂😂😂hiko ni kibarua aisee
Huwa wananishangazaga sana kwakweli 😂
Unakuta mdada anatembea kama anataka kuchuchumaa mda wote mikono ipo kwenye kijisketi chake kifupi chenye mpasuo.
 
Back
Top Bottom