Wanawake mlikofikia tunawaombeni mtupumzishe kidogo. Hii ni fashoni au ujinga?

Wanawake mlikofikia tunawaombeni mtupumzishe kidogo. Hii ni fashoni au ujinga?

Ni fasheni tu, kuna wakati matiti yalioneshwa nusu, yale mlendemko yalikazwa na kupandishwa juu yaonekane ni mazuri as ifu yameumbwa hivyo kumbe ni marefu yanafika tumboni. Sasa hivi ni zamu ya mapaja kuoneshwa baada ya matako yaliyojaajaa na mengine kutunishwa kwa dawa za kukuzia makalio. Kuna wanawake wengine wanatembea na vibukta mitaani mapaja nje nje utadhani wametoka kulala havai kanga wala nguo ndefu na walioolewa waume zao hawawaambii kitu wanapenda wasifiwe kuwa wake zao wana hips nzuri. Ila kuna mapaja mengine ni mabaya yana nundunundu
 
Hapa ndio nawaelewa TALIBAN. Wanawake watakiwa kutawaliwa na wanaume. Ukiwapa Uhuru ndio kama ivyo wanaamua kutembea uchi. Pumbavu sana.
Kabisa mwanamke ni kutawaliwa tuu. Talibans wanajielewa sana
 
Back
Top Bottom