Wanawake mlikofikia tunawaombeni mtupumzishe kidogo. Hii ni fashoni au ujinga?

Ndo maajabu Yani anatoka nyumbni kwake amevaa anakazi ya kujishikashika kujizuia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hiko ni kibarua aisee
Huwa wananishangazaga sana kwakweli πŸ˜‚
Unakuta mdada anatembea kama anataka kuchuchumaa mda wote mikono ipo kwenye kijisketi chake kifupi chenye mpasuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…