Sasa ugum unauhusiano gani na kulana while mlishaachana.......apo pa kupenda sasa sijakuelewa bado yaan kwamba ukiwa unampenda mtu n yeye hakupendi lakn akiomba mzigo natoa tu kwasababu moyo wng unamwelewa that's all!!!?Duuuh hujawahi kukutana na mgumu, au hujawahi kumpenda m'me kwa dhati ya moyo wako, ila nakutahadhalisha w'me wagumu wapo, mimi ni miongoni mwao!
Hahaha ndo hivyo bro........dunia inaenda Kasi sana.zalisha tu km unapata wa kukuzalia.apart from me bado kuna wanawake wenye kutambua thamani zao na wenye kujitunza,muombe Mungu uwe mwenye bahati ili uweze kulea watoto wako sio kulelewa.na huo ndo uanaume kamiliWatu wengine tuna roho ndogo sana na zakikatili, kweli wajameni mtu unaanzaje kufunga ndoa na mdada kama wewe tena wewe una kauafadhali wanne tu wenzio unakuta 40 au 60 mpaka amekuwa na radha ya chumvi😛😛
Sasa hivi ni kuwazalisha tu
SureScalethat watu tulioko humu ni hao hao wa mtaani. Mitandao ina watu wema na waovu pia kama ilivyo mitaa...
Thank uHuyu ndo mke wa kumpa ATM card ,endelea hivyo hivyo u worth a billion dollar
Niruhusu mimi nijaribu kuiondoa Imani hiyo ndani yako uzaliwe upyaaSure
Naamini tu hivyo na sijui km mtu anaweza iondoa hiyo imani ndani yng.
Aiseeee sijaolewa Ila katika kitu sijawai na Wala sifikirii kufanya ni kuliwa na ex wng.
We are done....we are done.
Uzuri wanakijuaga kichwa changu hawathubutugi ata kuniongelesha useng* huo.na sijawai achana na mtu kiugonvi wote kiroho safi.wakinipigia ni kulaumu baada ya kuumizwa huko ama wamenikumbuka tu.
Tupe idadi tafwadhari!Aiseeee sijaolewa Ila katika kitu sijawai na Wala sifikirii kufanya ni kuliwa na ex wng.
We are done....we are done.
Uzuri wanakijuaga kichwa changu hawathubutugi ata kuniongelesha useng* huo.na sijawai achana na mtu kiugonvi wote kiroho safi.wakinipigia ni kulaumu baada ya kuumizwa huko ama wamenikumbuka tu.
Wakike wepesi sana kwa wapenzi wao wazamani
Ndio umekuja kutusema huku.Aiseeee sijaolewa Ila katika kitu sijawai na Wala sifikirii kufanya ni kuliwa na ex wng.
We are done....we are done.
Uzuri wanakijuaga kichwa changu hawathubutugi ata kuniongelesha useng* huo.na sijawai achana na mtu kiugonvi wote kiroho safi.wakinipigia ni kulaumu baada ya kuumizwa huko ama wamenikumbuka tu.
Funguka tu mamaaaAisee nikisema watasema unasema hivyo kwa kuwa hujaolewa
kuna x huyo hata akinikuta nnatembelea mkongojo ntachepuka tu kwakweli
[emoji134][emoji134][emoji134] mane mtu akiwa local ndo anakuwa aje?haaha mm hyo bahat bado sijaipata...!hapana kwakwel mie nahis atanionaje sijui.nahis ataniona km nimechooookkaaaaa...!Mie ex wangu abafanya kazi Chalinze ..mm nipo mOro na akija ananiambiaga kbs sijawah hata pataga mzuka hata niende msamv kumsalimia..pyee..!ananiboaga akiwa ana hela anampa ofa mdogo wangu wanapiga kilaji..ss ni km hua anampa msg fulan dogo..mm walaaaaa[emoji23][emoji23][emoji39]..Kwanza hatuendani kbs mm na yy kwasasa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]...very local[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Funguka tu mamaaa
Basi mm nna shida .wanaume walivyo wengi hv nimrudie ex😂😂😂...
Hapana! AsanteNiruhusu mimi nijaribu kuiondoa Imani hiyo ndani yako uzaliwe upyaa
Wao wanakuchukulia wewe kama nani ?Upo kama mm..haijawah tokea wala kuwaza kbs .mie nawachukulia km scrapers tu
Wao wanakuchukulia wewe kama nani ?