Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

kwani unao wangapi😳😳😳
 
Aseh ni wanawake wachache sana wenye uelewa na msimamo huu, kwamba, uhusiano ukipita umepita, kurudi nyuma ni kujidharirisha.....
 
Kujishusha..unainekana km umekosaaa...mm ht km ulikuwa mzuri kitandan hapana ...
Yaaani ni fedheha.....imagn ulikuwa main chick alaf unakuja jikuta mchepuko au kipoozeo.wao hawapotezi kitu.

Ukisikia kufa nalo rohoni ndo hili,itabaki tu rohon kuwa jamaa alikua vzuri ktandani basi.
 
kama mtu aliye naye sasa hivi anapwaya sekta mahsusi kwa huyo binti..ni wachache sana wanaweza jizuia.
hasa kama walishazaa pamoja
 
Mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu
 
Msalimie shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…