Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Huyu
Ipo lakini ktk vitu siamini hata chembe ni ndoa au mahusiano yazaliwayo kutoka kwny mitandao ya kijamii.
Huyu yuko serious todito oa kisha muonyeshee true love ili aamini mapenzi huanzia popote huyu kweli anataka ndoa
 
Kama hujaolewa, unawezaje kufahamu utamu wa kupasha kiporo ?
 
Mhhh!
 
Kama hujaolewa, unawezaje kufahamu utamu wa kupasha kiporo ?
Aaaah ivi kupasha kiporo mpk uwe umeolewa eeeh!??af kumbe utam wa kupasha kiporo ukiwa umeolewa na hujaolewa unatofautiana???
Hongera bana uko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…