Wanawake mlioolewa una ujasiri wa kukataa kuchepuka na ex wako?

Utakuwa mkorofi Wewe,
Huwa unaachwa kwasababu gani?
 
Hivi mnaona wanawake ni dhaifu sana eeh?
 
Wanawake wabaya sie smtime jaman.....ila si wote.pole sana kaka ang

Ina mna familia teyari kwann usimsamehe mwenzio,mkakaa chini mkayajenga.

Pagumu hapo, ngoja nitafute mfano, hii kumbukumbu ni sawa sawa na binti aliye na miaka 10 abakwe ukitegemea atasahau, wanawake laiti wangalijua ugumu wa hili swala wasingecheza, ukiwa na mume siku moja usijarib
 
Utakuwa mkorofi Wewe,
Huwa unaachwa kwasababu gani?
Hahaha mm sio mkorofi haki vile.dini ndo tatizo.....najiondokeaga mwnyw japo naaga kiungwana.ila ile ya mwsho niliachwa kwasababu niligoma kutoa uchi hahaha.
 
Pagumu hapo, ngoja nitafute mfano, hii kumbukumbu ni sawa sawa na binti aliye na miaka 10 abakwe ukitegemea atasahau, wanawake laiti wangalijua ugumu wa hili swala wasingecheza, ukiwa na mume siku moja usijarib
Daaaah sitojaribu.pole sanaaa
 
Hahaha mm sio mkorofi haki vile.dini ndo tatizo.....najiondokeaga mwnyw japo naaga kiungwana.ila ile ya mwsho niliachwa kwasababu niligoma kutoa uchi hahaha.
Hahahaha!!!!
Kama ni hivo unastahili pongezi.
Wenzio huwa wanatoa, kushikilia mahusiano.
Kwakutojua ukweli kuhusu wanaume kwenye hilo tendo.
 
wanawake wenye kuhifadhi tupu zao kwa ajili ya waume zao tu watapata ujira mkubwa yawumul hisabu so hongera kwa hilo madam s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…