Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

Wanawake sikuhizi ni wauzaji in “Stealth-Mode”

Watakujia juu ila ndio ukweli.
 
Hakuna ubaya ukimuomba mtu wako pesa hata mara moja .
Mimi sizungumzii huko kuomba hela kwingine .
 
Duh, kweli vijana wana kazi sikuhizi! Kwahio we penzi hutoi hadi upewe hela?

Yani mwanaume humuhitaji bila shaka unaweza kukaa milele bila kuhitaji mwanaume wewe?

Sio hivyo ila huyo nduguyo anasema kama utamu mnapata wote there is no need ya kumpa hela mwanamke [emoji28][emoji28]
We kipindi una mahusiano na huyo mkeo hukuwahi kumpa hela? Iwe aliomba au ulimpa tu
 
Ila pia kuna wenzako ambao wanatupa mapenzi bila invoice mbona[emoji3] na hawalalamiki kupewa hela kama wewe!
Huwa ndio hapo naamini kweli Mungu humpa kila mtu wa kufanana nae.

[emoji28][emoji28][emoji28]hata mi natoaga siombi hela hadi nauli natumia yangu sio shida zangu
 

Tatizo lenu ndo hilo, we mpe mpenzi wako pesa pale inapobidi, trust kama anakupenda anajua uwezo wako hata kama utampa elfu mbili kwa mwezi fresh tu mbona

Tatizo mba wapenzi kumi kumi mtawezaje kuwapa hela wote [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…