ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Sio poa mzee!Mtu hana ramani halafu unategemea aanze na kuhonga 😅
Jobless ni wengi mno, mtu anaamka asubuhi hajui aanze vipi siku, hakuna kitu mbaya kama kuamka hujui siku itaendaje yani, yani upo upo tu unasubiria breakfast, lunch na jioni ukakae na wana kidogo... stress zaweza kukuua wallah