Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

Wanawake mnaosimama kanisani kweli mmekosa wachumba na wanaume?

Wanawake wote wana vigezo vyao kuhusu mume ama mchumba wanaemtaka awe navyo. Na hivyo vigezo vinafanana.. yaani handsome mwenye maisha mazuri.

Sasa wanapokosa mtu wa aina hiyo ndipo wanaenda kuombewa kanisani wampate.

Hahhhaaa... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanawake ni DELUSIONAL sana.

Mahandsome tuko wachache.

Haiwezekani kila mwanamke atake handsome. Watasugua sana makanisani.
 
kuna mmoja alikuwa kwenye mkutano fulani akaenda mbele ili apate mchumba na mume aliporudi nikaomba namba ya simu ila jibu na jicho alilonipa ilitosha kusema endelea tu kuwekewa mikono na watumishi
Huwa wana watu wao wanaowataka kulingana na delusional imaginations zao.

Mahandsome, warefu na wenye gari. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sahii kabisa,
Kuna wadada wanaona kudanga mjini ndio dili, muda wa kuolewa Bado.

Wanaume tukishaonja tunaambizana,
Wakishakuonja wawili watatu tayar sifa ya kua MKE inapotea. Labda uhame mji.

Siwez kuoa mwanamke amewahi kuliwa na rafiki zangu,

haileti heshima kumtambulisha mkeo kwa shemeji Yake ambae Ni ex wake wa zamani (alishawai kumchojoa chupi)

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wanaume watu wa ajabu Sana. Unaoa mwanamke ambaye Hana bikra Wala nozel Tata. Unajua kabisa bikra wameitoa wenzio. Lakini UKIJUA wanaume waliokua wanatoka na huyo mwanamke hamu ya kuoa pale pale inakata. Hasa UKIJUA alikua anatoka na MTU unayemdharau au anayedharaulika kutokana na ulevi wake au kazi anayofanya au na elimu yake.
 
Back
Top Bottom