United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
- Thread starter
- #101
Kabisa sjui wanataka kushushiwa malaika wa mbinguni ndio watalizikaHata wakipata wataendekea kuomba mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa sjui wanataka kushushiwa malaika wa mbinguni ndio watalizikaHata wakipata wataendekea kuomba mpya
Hao binamu zako watakuwa wanasubiri binti zako wakue ndipo waoe?Nitawaozesha Kwa watoto wa wajomba zangu haramu ni tumbo moja tu full stop.
Sawa,sasa nimekuelewaUsimwage mchele penye kuku wengi madam.
[emoji1787][emoji1787]Ni hayo tu au unayo mengine
Shida ya nin ayo mengine achananayo subir muliko wa kula pilauHao binamu zako watakuwa wanasubiri binti zako wakue ndipo waoe?
Watakuelewa wachache sanaUtadhani wenye miaka 32 hawaolewi
Umri wowote mtu yoyote anaoa na kuolewa
Na kudumu kwny ndoa haijalishi umeingia na miaka mingapi
Tena zinazodumu ni za waliokomaa kiakili sio watoto wa huo umri
Yamenikuta haya, nimeoa kwa mjomba by force.Nitawaozesha Kwa watoto wa wajomba zangu haramu ni tumbo moja tu full stop.
😂😂 mmetuamuliaWanataka wenye mapesa tu ,akijitokeza mtu Kama mimi utasikia hooo sijafunuliwa.
[emoji1787][emoji1787]Tabia
Ya wanawake hio akishakosa options anakuja kwa ukali eti oh tusameheane tugange yajayo [emoji23][emoji23][emoji23] akifeli kabisa anawahi kwa mwamposa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri mabinti zako wakose wachumba ndio utaamini
Wanawake wote wana vigezo vyao kuhusu mume ama mchumba wanaemtaka awe navyo. Na hivyo vigezo vinafanana.. yaani handsome mwenye maisha mazuri.
Sasa wanapokosa mtu wa aina hiyo ndipo wanaenda kuombewa kanisani wampate.
hao watu huko wapo kweli [emoji1][emoji1][emoji1]Huwa wana kajina kao ka Kiofisi wanaita "Mtu wa maana" ndio ambaye wanamtafuta huko makanisani.
Huwa wana watu wao wanaowataka kulingana na delusional imaginations zao.kuna mmoja alikuwa kwenye mkutano fulani akaenda mbele ili apate mchumba na mume aliporudi nikaomba namba ya simu ila jibu na jicho alilonipa ilitosha kusema endelea tu kuwekewa mikono na watumishi
Sisi wanaume watu wa ajabu Sana. Unaoa mwanamke ambaye Hana bikra Wala nozel Tata. Unajua kabisa bikra wameitoa wenzio. Lakini UKIJUA wanaume waliokua wanatoka na huyo mwanamke hamu ya kuoa pale pale inakata. Hasa UKIJUA alikua anatoka na MTU unayemdharau au anayedharaulika kutokana na ulevi wake au kazi anayofanya au na elimu yake.Sahii kabisa,
Kuna wadada wanaona kudanga mjini ndio dili, muda wa kuolewa Bado.
Wanaume tukishaonja tunaambizana,
Wakishakuonja wawili watatu tayar sifa ya kua MKE inapotea. Labda uhame mji.
Siwez kuoa mwanamke amewahi kuliwa na rafiki zangu,
haileti heshima kumtambulisha mkeo kwa shemeji Yake ambae Ni ex wake wa zamani (alishawai kumchojoa chupi)
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa wana kajina kao ka Kiofisi wanaita "Mtu wa maana" ndio ambaye wanamtafuta huko makanisani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanataka wenye mapesa tu ,akijitokeza mtu Kama mimi utasikia hooo sijafunuliwa.
Wahuni sana hao 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]