Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Habari wanajamii,

Nimeona nielekee kwenye mlengo wa madaa husika, Nimejaribu kufanya uchunguzi sana kwenye baadhi ya mazungumzo ya hawa wanawake tulionao humu ndani ya hii forum na kubaini kuwa wengi wa mabinti waliojiunga na hii forum ni sehemu ya wanawake waliopitia shida na mateso mengi sana hadi hivi sasa kuna wengine bado wamefungamana na mateso hayo hadi hivi leo.

Hivyo hii hali imewapelekea kutotambua nini haswa wanachohitaji kupatiwa katika maisha yao binafsi, Na hili limewafanya kuchanganya hali ya maisha na mahusiano kwani wengi wao wamekuwa wakitafuta wapenzi wa kuwatoa kimaisha lkn wengi wamejikuta wakiangukia pua kwa kutotambua nini haswa wanachohitaji kwenye mahusiano yao, Ingawa sijajumuisha wote humu ila ni baadhi yao wamekua na mihemko ya ajabu sana pale linapokuja suala la mahusiano.

Wengi wao wanafikiria mahusiano ni lazima kuwa na mtu mwenye hela nyingi ndio mwanzo mzuri wa wao kufanikiwa lkn wamejikuta wanakutana na hali ya ndivyo sivyo na kuambulia mateso mengi sana katika maisha yao.

Qn: HIVI NI NINI HASWA WANAWAKE MNAHITAJI MAISHANI KWENU MFANYIWE ILI MTULIE KAMA WATOTO NA NDIVYO MNAPENDEZWA KUWA NA HALI HIYO!

Cc: Clepatina , cocastic , Cute Wife , Shunie , Amehlo , Darlin , Ms eyes , Mrs Thabo Bester , charrote & all who ain’t in a list but we do love to show our respects.

Best Regards

All JamiiForums members

Sisi wenyewe hatujui tunachokitaka [emoji28]
 
Dawa yake hata ukimjua unamkazia kuomba penzi yeye si kaamua kuwa dume jike, unamkazia. Anakwambiamimi mwanaume bwana unamwambia sawa ila me nishakupenda sasa nimegee penzi lako mbwa wewe.
Huu sasa uchizi eti nimegee penzi lako [emoji23][emoji23]
Hapo unakua umetapeliwa, nauli na vocha zishaliwa sanaaaa
 
Shida sio kutisha sana shida Daktaree wangu hataki kabisa kuwaona jinsia me [emoji23] mbona kichwa chako kizito hivi
Si ni changu [emoji23]
Nmeshaelewa ila daktari kanikatili sana.
Jana mlinifanya nimelala kwa tabasamu, yaani mlijua kunichekesha walai,

Shunie nina zawadi yako [emoji847] huyu Half american atajua mwenyewe na midevu yake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wanajamii,

Nimeona nielekee kwenye mlengo wa madaa husika, Nimejaribu kufanya uchunguzi sana kwenye baadhi ya mazungumzo ya hawa wanawake tulionao humu ndani ya hii forum na kubaini kuwa wengi wa mabinti waliojiunga na hii forum ni sehemu ya wanawake waliopitia shida na mateso mengi sana hadi hivi sasa kuna wengine bado wamefungamana na mateso hayo hadi hivi leo.

Hivyo hii hali imewapelekea kutotambua nini haswa wanachohitaji kupatiwa katika maisha yao binafsi, Na hili limewafanya kuchanganya hali ya maisha na mahusiano kwani wengi wao wamekuwa wakitafuta wapenzi wa kuwatoa kimaisha lkn wengi wamejikuta wakiangukia pua kwa kutotambua nini haswa wanachohitaji kwenye mahusiano yao, Ingawa sijajumuisha wote humu ila ni baadhi yao wamekua na mihemko ya ajabu sana pale linapokuja suala la mahusiano.

Wengi wao wanafikiria mahusiano ni lazima kuwa na mtu mwenye hela nyingi ndio mwanzo mzuri wa wao kufanikiwa lkn wamejikuta wanakutana na hali ya ndivyo sivyo na kuambulia mateso mengi sana katika maisha yao.

Qn: HIVI NI NINI HASWA WANAWAKE MNAHITAJI MAISHANI KWENU MFANYIWE ILI MTULIE KAMA WATOTO NA NDIVYO MNAPENDEZWA KUWA NA HALI HIYO!

Cc: Clepatina , cocastic , Cute Wife , Shunie , Amehlo , Darlin , Ms eyes , Mrs Thabo Bester , charrote & all who ain’t in a list but we do love to show our respects.

Best Regards

All JamiiForums members
Ubaya ni kwamba hainaga formula ninachotaka mimi sicho anachotaka Shunie au Joannah
 
Back
Top Bottom