kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipende hivyo hivyo kidume mwenzio tufike mbali sisi vidume tuoane [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtakuwa wake wenza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri coca afike ndio utajua km unapendwa shost [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Abeeeeeh, nimekujaaa, haya nipee maneno.
Nishakuja sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usimuite huyu kivuruge
Atavuruga mambo hapa shauri yako[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweliiii??Huyo asikupe tabu sweetheart ni jirani yangu huko Songea, Nyumbi hii bombi hii[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu siku hizi noo kugandanaa, ukiachwa unaachikaaa.Mimi namsubiri coca aje nikuone utakavyokimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbee unaogopaaa?? WoiiiiiihShem shem
Nionee huruma mimi
Sijui nitakimbilia wapi akifika huyo kivuruge[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jiandae kunisitiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahYaani nakuonea huruma shem [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe bora umwambie ukweli maua usimdanganye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna sina taarifa ya kuachanaaa???Mimi sikupeperushii ila naona unataka kumdanganya shosti angu maua, wakati moyo wako upo kwa mdogo angu coca
Labda km mmeachana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majibu anatoa Mjep [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote selfika wanajua Mjep wa coca na hawaachanagi hao wanagombana kwa muda, lakini km mwenyewe kasema hapa anakupenda na watu wote wameona kuwa naye
Ila majibu zaidi utayapata bibie Coca-Cola akifika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haachwi mtu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna sina taarifa ya kuachanaaa???
Hebu nijuzeee??
Simu yangu ili hackiwa😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbee unaogopaaa?? Woiiiiiih
Huyu Cute Wife udugu wako ndo alikua ananichonganisha jana🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweliiii??
Hujanijibu[emoji2222][emoji2222][emoji2222] udugu njoo cocastic