Wanawake mnawezaje kuishi na mwanaume anayefokafoka?

Mnatutisha ambao hatujaingia ndoani

Mwenzio kule mume anachepuka sana,huku mwenzetu unafokewa mixer jicho kali na unahofia kubondwa πŸ™†β€β™€οΈ
Ujaolewa bado mrembo,ngojea nilete posa
 
Nadhani alikua anataka ushauri kama huu sasa apige kura toka kwenye maoni ya ushauri kisha achukue maamuzi,ila ushauri wangu aangalie anakosea wapi maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Mboni una mshauri ujinga,kwamba achane nae.
 
Umeandika vizuri. Ila umekosea sana kuwakashifu ndugu zetu wachaga. Hapo umezingua kugeneralize.
Pia kushauri kuchepuka kama suluisho umefail big time.
 
Mpeleke hospitali kwa psychiatrist atakuwa na tatizo la kisaikolojia
 
Nadhani alikua anataka ushauri kama huu sasa apige kura toka kwenye maoni ya ushauri kisha achukue maamuzi,ila ushauri wangu aangalie anakosea wapi maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai

Kuna wanaume hawayeyuki kaka
 
.

Umeandika vizuri. Ila umekosea sana kuwakashifu ndugu zetu wachaga. Hapo umezingua kugeneralize.
Pia kushauri kuchepuka kama suluisho umefail big time.
Yaani umenigusa sana ndg kwa ujumbe wako mrefu kila nikiusoma unanivutia kushuka tu uzi mtamu kweli kweli yaani hujaacha kitu hapo...ila sio wachaga wote wwnye hizo tabia ni hulka ama makwazo kama ulivyoelezea pamoja sana

Hawa majamaa mama zetu wake zetu dada zetu walio wengi kwanza waongo hua kwenye kutafuta suluhu hawajuwagi kusema ukweli na pia kuaminisha nafsi zao kwa uongo wanaousema narudia wanawake wote mnisikie hakuna mkate mgumu mbele ya chai jamanii badilikeni ndoa zenu zidumu,huku mtapata ushauri

Wa kila aina wwngine kuwapotosha lkn wao wanavumilia ya kwao pia hakina ndoa iliokamilika asilimia 100 ni kuchukuliana na kuvumiliana NDOA IHESHIMIWE NA KILA MTU pia jifunze kuheshimu mamlaka ya juu yako
 
Wewe si umefuata pesa... Hukuangalia utu na tabia..? Ndio huyo mvumilie sasa...

Sasa mtu umetoka kumfokea kama mtoto... Unapataje nguvu ya kuomba game?
 
Aliyekwambia ndoa ni raha tu ni nani!? Bora wewe unafokewa tu kuna wenzako wanachezea mabanzi ya uso kila siku na wanavumilia! Kikubwa uvumilivu chukulia huo ndo udhaifu wake ubebe kama ulivyo hata yeye kabeba madhaifu yako mengi tu kakausha tu. Usione watu wametulia kwenye ndoa wanavumilia mengi mazito kuliko hako kajichangamoto kako kakufokewa!
 
Umenena ukweli mkuu! Hata mimi ndo mbinu zangu nikigundua kuwa huyu mwanamke Ana kimdomo fyombi(mdomo mrefu) ninakua mkali kama pilipili kichaa, ili asinichukulie poa akanipanda kichwani! Hivyo huyo bi mdashi
Ajiangalie kama Ana kaujeuri ajirekebishe.
 
Mmh! Ingekua hivyo ndoa zote zingekufa mkuu, cos ndoa nyingi hata za wazazi wetu zinaendeshwa kwa mfumo dume yaani mwanamke kufokewa na kupigwa ni jambo la kawaida! Na ndoa zinadumu na mapenzi motomoto kama kawaida. Na ndo maana kuna mahusiano au ndoa ambapo mwanamke anafokewa na kupigwa sana tu lakini ukimuuliza mwanamke anasema nampenda huyu mwanaume siwezi kumuacha.
Kikubwa ni uvumilivu tu changamoto katika ndoa ni kawaida. Tukisema penye kila changamoto suluhisho liwe ni kuachana basi hakutasalia ndoa hata moja chini ya jua.
 
Wanaume wa hivyo ndio wanawake mnatakiwa muwe nao, tena ndoa za kufokewa kidikteta ndio zinadumu, wala mwanamke acheat, tofauti na hizi ndoa za mwanaume romantic na diplomatic zinashida sana.
 

Mfumo Dume Sio kufokea, mzazi wako alifanikiwa maana wanawake by then hawakuwa na chaguzi, huwezi fokea mtu mzima hata mtoto!
 
Kiasili na kwa utafiti wanawake wanapenda au wanajisikia faraja wamekamilika wanapokandamizwa kimfumo dume zaidi kuliko wakiwa diplomatic zaidi yaani laizer affair hivi kuwa kuachwa huru zaidi wajitawale. Zile ndoa ambazo mwanaume ni mbabe na ana kipato nyingi hazivunjiki tofauti na hizi za mwanaume mpole, muungwana na kamwachia huru mkewe. Wanawake wanapenda kutawaliwa na sio kujiongoza. Thus ndoa za zamani zilikuwa zinadumu.
Unaweza vipi kumcheat, kumletea dharau au jeuri mwanaume mbabe, saikolojia yao tu inakataa wakajikuta wanakaa kwenye mstari. Ukiwa na elimu na dini huwezi kuwa dikteta.
 
Asipo elewa hii ndio basi tena. Umesahau kitu kimoja unaweza ukawa unarudi kitoka job umejiandaa kwa kumpa show kali wife ile ukifika to hom unapokelewa na yale unayo yakataza kila siku hapa mudi ya kudinya inayeyeka yote unaona tu bora ule ulale usije leta shida bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…