Wanawake mtambue mwanaume kuvumilia usaliti ni 1 kati ya 10 chezeni kwa step

Umeongea kiutu uzima sana shem

Balimi unatumia nikuagizie moja
 
kweli kabisa mkuu ila nilisemea kwenye mioyo ya uvumilivu na kusamehe.. wanawake mara nyingi tunasamehe na kusahau ila upande wenu majority katika kusamehe mhmh....

cc Smart911
 
Bora umeujua ukweli na ndo maana hata vitabu vya dini vimetuasa wanaume tuishi na wake zetu kwa akili
 
kweli kabisa mkuu ila nilisemea kwenye mioyo ya uvumilivu na kusamehe.. wanawake mara nyingi tunasamehe na kusahau ila upande wenu majority katika kusamehe mhmh....

cc Smart911
Hii inatawaliwa zaidi na nature, wanaume tupo tofauti sana na wanawake. Ninyi mara nyingi huwa mnasamehe tofauti na sisi kusamehe mke aliyeto.mbesha nje ya ndoa huwa tuko wagumu mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…