Wanawake mtambue mwanaume kuvumilia usaliti ni 1 kati ya 10 chezeni kwa step

Mungu akusimamie ktk hilo maana nakumbuka jamaa yangu aliwahi kuapa hivyo hivyo lakini leo hii anaozea jela kwa kesi ya kujeruhi baada ya kumfumania mkewe
Daahhh aiseee ,polw yake sana mkuuu.

Ujue nn, sitokaa nimpigw mwanamke, akinisaliti naacha .

Kwamakosa mengine nitaangalia pia,, km adhabu kwa mwanamke nitaitesa akili yake mpaka yeye mwenyewe anyooshe mikono juu.

Mwanamke usimpige.... Tesa akili yake.
 
Hahahahaha kweli kabisa sasa inamaana nyie tu ndiyo Mna mioyo ya kuumia???
nyie mnakitombesha nje haswaaa ila ionekane kwetu saasaa balaa


cc Smart911
Hahahaahaaaa

Ni human nature ,ndio maana hata dini zinazoruhusu ndoa za wenza zimetoa nafasi kwa wanaume tu kuoa wake wengi si mwanamke kuolewa na wanaume wengi

Imagine ww uolewe na wanaume wanne! Unaweza kuwamudu kweli?[emoji23] [emoji23] lakini smart anaweza akawa nao na akawamudu
 
Lol si kwa mi example hio teh[emoji1] [emoji1]!!! Ofcourse Smart911 can manage hio idadi.. Make nguvu anazo tena nyingi mnoooo na uwezo wa kuhudumia wote pia upo...... Kumbe wanaume wakristu mke mmoja wanakosa uhondo sio??!!!!!!!! [emoji1] [emoji1] [emoji87]
 
Hahahaha mkuu ,kwan inakuaje mtu anaumizwa then anashindwa kumove on?? Inakuaje hiii aseee inakuajeee??? Niudhaifu gani huo??.

Daahhh naamin mazuri yako mbele, leo tukiachana ,naamin mazuri nitayapata huko mbele ya safari
Kiimani hilo linawezekana sana ila si vinginevyo.

Chukulia unaoa mke mkapata watoto maisha yanawaendea vema sana, miaka kadhaa mmetengeneza maisha safi unakuja kujua kumbe mkeo anakusaliti na mbaya zaidi wakati ww unakomaa huko kuvuja jasho kutafuta yy anatumia kipato hicho hicho kumpa mwanaume wake

Utaichukuliaje hali kama hiyo? Hlf mbaya zaidi unapojaribu kusolve anakujibu majibu ya kashfa! like mwanaume utakuwa ww!

Ni issue sana hizi mambo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoa iheshimiwe na watu wote. Ila kiukweli kbs cheating kwa sisi wanaume huwa ipo japo kwa siri sana
 
Kuna Jamaa yangu ana kaza Mke wa mtu Na Jamaa mwenyewe Na mfahamu muhuni mtoto wa mjini. Huwa niki kaanao nahisi harufu ya damu wao hawana habari, haya mambo ya kupiga deck kama mnataka wake zetu muwe mnasema tutajalibu hivyo hivyo
 
Shida inakuja pale unapogundua kwamba ww kuona kwamba unamtesa akili yake hateseki yy ila inakutesa mwenyewe
 
Mkuu naungana na wewe kabisa

kwanza haya mambo ya Mke mmoja yameletwa na
dini za WAZUNGU hapa Afrika hakuna hilo jambo
la Mke mmoja mwanaume mmoja

Sera ya Afrika ni Mume 1= wanawake wengi
sasa hawa wanawake wa leo hasa mijini
wanaendeshwa sana na mitandao wakati
hali halisi ya Maisha hairuhusu hilo.ndio
mana wengi utawakuta hawazai,akizaa katoto
kamoja ka maombolezo na asilimia 97 ni kwa kufanyiwa upasuaji.

Wanawake lazima warudi kwenye mistari ya kiafrika na wafanye kazi majumbani mwao..wengi wakizaa hapo ndio utamkoma hatagusa hata kijiko...kila kitu mpaka mtoto akikojoa bado anaita dada wa kazi aje ambadilishe mtoto wake mkojo wanatia kinyaa na aibu kubwa...

Hiyo haimanishi wakikosa uwakate koromeo HAPANA..ukiona amezidi mfukuze yaishe.
 
Hatareee sana! 😀 😀 😀 😀
 
Mi bora nisijue kwakweli Yani nikijua najikuta naisha taratibu... Nakonda balaa hata kama nilikua bonge naishaaaaa


Cc Smart911
Kiukweli inaumiza sana, sema wanawake huwa inafika wakati mnasamehe lakini kwa sisi wanaume ni hatari sana. Jamaa yangu kajenga nyumba nzuri tu kamnunulia na gari ya kwendea kazini mkewe, siku ya siku akaja kumfuma amemvulia chuppi mwanaume ndani ya gari ile ile aliyomnunulia kapanua miguu anatiwa - aiseeeeeeee jamaa alilia saaaaana
 
swali zuri
 
Ndo ukisikia mume amuua mkewe sometimes haya mambo yanachangia sana.. Hapo automatic unafanya kitendo bila wewe kujua! Nadhani mwanaume kuchapiwa inauma sana kuliko hata mwanamke kuchitiwa.




Cc Smart911
 
Wakati huo huo mkeo kujiridhisha kuwa wewe pia unakula mahali.... Ni jambo jepesi kwake sio??!!
Siyo jepesi hata kidogo ndio maana nikasema yeyote Kati ya mume na mke atakaeona hawezi kuvumilia usaliti muachane mapema kwa amani maana kifuatacho itakuwa balaa kwa sababu MI najua wenye moyo wa kuvumilia usaliti ni wachache.
 
Ndo ukisikia mume amuua mkewe sometimes haya mambo yanachangia sana.. Hapo automatic unafanya kitendo bila wewe kujua! Nadhani mwanaume kuchapiwa inauma sana kuliko hata mwanamke kuchitiwa.




Cc Smart911
Haya mambo ni Mungu tu atusimamie kwakweli
 
Kujua mke anagongwa nje ni mtihani mkubwa sana ambao wanaume tulio wengi huwa kuufaulu ni Mungu tu aingilie kati vinginevyo mmmmh!
Vinginevyo nini mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] au ndio mambo Kama ya huyo mchungaji huko Dodoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…