Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Daahhh aiseee ,polw yake sana mkuuu.Mungu akusimamie ktk hilo maana nakumbuka jamaa yangu aliwahi kuapa hivyo hivyo lakini leo hii anaozea jela kwa kesi ya kujeruhi baada ya kumfumania mkewe
Ujue nn, sitokaa nimpigw mwanamke, akinisaliti naacha .
Kwamakosa mengine nitaangalia pia,, km adhabu kwa mwanamke nitaitesa akili yake mpaka yeye mwenyewe anyooshe mikono juu.
Mwanamke usimpige.... Tesa akili yake.