Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Sasa kwani Kelsea hayo ya uongo? ๐ ๐ ๐ usiwe kavivu kitandani hapo ndo michepuko inapowazidi kete unajikuta ushapandishwa cheo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwani Kelsea hayo ya uongo? ๐ ๐ ๐ usiwe kavivu kitandani hapo ndo michepuko inapowazidi kete unajikuta ushapandishwa cheo
Hakika. Lazima muangukie pua.Hua nawaza nyumba kama chombo kinachopaswa kuendeshwa, hivi chombo kinawezaje kwenda na kufika destination yake kikiwa na madereva wawili na wote wanataka waendeshe kwa wakati mmoja? Ni ngumu sana chombo kitaenda mlama tu
๐๐๐ daah yaani nije na zawadi za akina mama kwel kama kicheni pati?๐คUsijali Ila uje na zawadi ya sahani na bakuli za kumpakulia shemeji Yako ubwabwa๐๐๐
Yaan maana yangu ulisahau kuweka point muhimu sana.Sasa kwani Kelsea hayo ya uongo? [emoji28][emoji28][emoji28] usiwe kavivu kitandani hapo ndo michepuko inapowazidi kete unajikuta ushapandishwa cheo
Kuna ambao ni hopeless lakini hana kipato. Kipato cha mtu hakiwezi kumbadili akawa mjinga kama biblia ilivyoandika.usiombe mwanamke awe na kipato.
Yh wadhungu wanasema regular sex makes a relationship stronger
Sawa ahsante kutukumbusha.Yh wadhungu wanasema regular sex makes a relationship stronger
Wee jidai wajua kupenda tuu hao tdhHiyo sentensi huwa siielewag [emoji23][emoji23] ebu nidadavulie vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke akileta jeuri kisa pesa unamuacha Tu akalale na ma dildo ..
Unatafuta mwenye heshima
usiombe mwanamke awe na kipato.
Kabisa ulichonena, wasituharibie watoto wetu wa kike eti ooh hamsini kwa hamsini, ukiwa na pesa tu mwanaume Hana lolote kwako. Heshima ndo kitu muhimu na silaha kubwa kwa mwanamke. Haijalishi una pesa au hauna pesa, siku zote mwanamke ni mwanamke tu. Kila mtu atimize majukumu yake kama mwanamke na kama mwanaume. Akiona ndoa imemshinda manyanyaso na mateso, ni marufuku kuyavumilia, ana haki ya kusogea taratibu na kwenda kulea watoto wake. Tuwaachie wanaume majukumu yao, na ukiona jukumu lake limemshinda na hauwezi kumvumilia, sogea taratibu bila makelele bila kutembeza sumu kwa watoto wetu wa kike. Super woman, strong woman bullshit.
Mtu ndoa yake imemshinda, yeye atakuelekeza Nini ww mtoto wa kike ukapata mawaidha njema. Mtoto wa kike chukua elimu kutoka kwa yule ndoa ameiweza, na anaishi kama mwanamke na ndoa yake Ina furaha. Lakini lijitu Lina taraka halafu ooh nisikilizeni mabinti ww ni super woman, mwanaume asikuchanganye, akirudi saa tano usiku na ww kesho Rudi saa Saba usiku. Akichepuka na Asha na ww kesho chepuka na Juma., Upumbavu. Mwanamke anasifika kwa heshima na maamuzi yenye busara katika ndoa yake.
Wape hao, safi sana. Kama una mdovowako mwenye akili kama wewe afu hajaolewa, ni PM.Assalamualaikum nnawatakia mifungo mema.
Dear girl child kama una malengo ya kuolewa ukae ukijua mwanaume ni kiongozi wa familia aliumbwa yeye ikapita miaka 40 ndo ukatolewa ubavu wake akaumbwa mwanamke. Mungu fundi hakuna sababu ya kuumba sote wawili mmoja ametokana na mwenziwee awe msaidizi wake, hizi feminists activities zinazoendelea ni kuharibu mpango wa Mungu.
Hakuna usawa kati ya mke na Mume isipokua katika kuutafuta ufalme wa mbinguni au kujua lengo la kuumbwa na namna ya kulifikia. Nyie mastrong sijui super woman msituharibie watoto wetu wa kike, asili ya mke ni heshima, mwanaume ni kiongozi wa mwanamke.
Tena siye waislam tunaambiwa kabisa Pepo yako iko kwa mumeo, kumtii mumeo ndo lango la wewe kuiona falme ya Mungu, haijalishi ni kibe10, kizee kikongwe whatever huyo Mume alivo mradi tu anawajaibika kama Mume na anabeba majukumu yake ya kiunaume.
Kuna Wanawake wakiwa nje wanapondea ndoa ila wakiwa Kwa waume zao wanatulia tulii wanafanya majukumu yao mpaka baasi ukiwasikiliza unapotea. Za kuambiwa changanya na zako, ewe mtoto wa kike
Kwenye ndoa hakuna kutoa taarifa kuna kuomba ruhusa Kwa mume, kwenye ndoa hakuna mashindani kuna maelewano.
Sijui lengo la wanaharakati wa ndoa ni lipi. Binti kama anapigiwa, anadhalilka na kufanyiwa unyama hapa hata akiresist ni sawa na ni bora talaka kuliko kuuana.
Wanaharakati wamezalisha kizazi cha wanawake wachepukaji, tusio walezi wazuri, waongo na unaafiki mwingi tunajifanya tunashinda kwenye nyumba za Ibada ila tuna machafu kibao. Ingawa Toka zamani uchepukaji ulikuwepo kwa jinsia ke ila Sasa imezidi tena sio Siri tena.
Kwa Sasa jamii zina macho lakini hazioani, zina masikio lakini hazisikii. Ifike mahala wanawake tujitambue na ktk kujitambua sio kudharau ndoa yako, hiyo ni dhambi kubwa sana tunafanya. Shida iliyopo wanaume wengi siku hizi wanakimbia majukumu yao ya ubaba na ulezi ni sperm donors tu, ila hiyo haifanyi sababu ya mwanamke awe juu.
Ukiona umeshindwa toka, Kaa pembeni lea watoto wako vizuri kabisaa kuliko kuishi na mtu asiyejitambua
Ila kama umepata mwenza muungwana mstaarabu mheshimu, mpende na jengeni familia yenu vizuri, achaneni na wanaharakati uchwara wenye stress na maisha yao.
Ndoa ni kitu kizuri na baraka Kwa wenye akili na uelewa tu.
๐๐๐Si zawadi jamni๐๐๐ daah yaani nije na zawadi za akina mama kwel kama kicheni pati?๐ค
Umetokwa povu.....Hasira za nini sasaKabisa ulichonena, wasituharibie watoto wetu wa kike eti ooh hamsini kwa hamsini, ukiwa na pesa tu mwanaume Hana lolote kwako. Heshima ndo kitu muhimu na silaha kubwa kwa mwanamke. Haijalishi una pesa au hauna pesa, siku zote mwanamke ni mwanamke tu. Kila mtu atimize majukumu yake kama mwanamke na kama mwanaume. Akiona ndoa imemshinda manyanyaso na mateso, ni marufuku kuyavumilia, ana haki ya kusogea taratibu na kwenda kulea watoto wake. Tuwaachie wanaume majukumu yao, na ukiona jukumu lake limemshinda na hauwezi kumvumilia, sogea taratibu bila makelele bila kutembeza sumu kwa watoto wetu wa kike. Super woman, strong woman bullshit.
Mtu ndoa yake imemshinda, yeye atakuelekeza Nini ww mtoto wa kike ukapata mawaidha njema. Mtoto wa kike chukua elimu kutoka kwa yule ndoa ameiweza, na anaishi kama mwanamke na ndoa yake Ina furaha. Lakini lijitu Lina taraka halafu ooh nisikilizeni mabinti ww ni super woman, mwanaume asikuchanganye, akirudi saa tano usiku na ww kesho Rudi saa Saba usiku. Akichepuka na Asha na ww kesho chepuka na Juma., Upumbavu. Mwanamke anasifika kwa heshima na maamuzi yenye busara katika ndoa yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi wee ukimsaliti mkeo??Mambo mengine yote tutakaa tuongee, ila dharau inayodhalilisha utu na uanaume wangu, tutaachana there is no healing for that. Kwasababu utakuwa umenidhalilisha mimi na wazazi wangu walionizaa, na hatua zote za mwanzoni zakujitambulisha ni za kinafiki. So, kila mtu atambae njia yake.
Nasimama na msimamo wangu, mimi nimekosea nakuniacha ni haki yake wala sitamzuia kwakuwa nitakuwa nimemfanyia unafiki na kumdharaulisha. Hakuna aliyebora anayemzidi baraka mwenzake, basi kwakuwa kiapo ni kilekile, basi hayohayo namimi yanifaa. Kwanini ucheat wakati ulimridhia mwenyewe?? Kuendekeza huruma aiza kwa mwanamke au mwanaume Kwa mambo kama haya ndiyo hufanya taasisi ya ndoa kuonekana bosheni na haifai. Uliuwa kwa upanga basi utauwawa kwa upanga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi wee ukimsaliti mkeo??
Na tumeacha dini tumefata Dunia Lau tungefata Mungu anavotaka tusingekua na kizazi Cha fifty fiftyKuna ambao ni hopeless lakini hana kipato. Kipato cha mtu hakiwezi kumbadili akawa mjinga kama biblia ilivyoandika.
Mimi naamini wasichana na wavulana wetu hatujawafundisha kuanzia wakiwa wadogo kuheshimu ndoa. By the way siyo ndoa tu haiheshimiwi, hata kazi ofisini na majumbani hamna anayejali. Tuna tatizo kubwa kwenye ngazi ya familia jinsi tunavyowalea watoto wetu.