Wanawake ndoa ni utii, acheni kujaza ujinga wadogo zenu

Wanawake ndoa ni utii, acheni kujaza ujinga wadogo zenu

Umemaliza kila kitu dada, shida ni kwamba wanawake tunataka kubeba majukumu ya wanaume, hasa hili jukumu la KUPENDA, mwanamke wake mi UTII, Kupenda sio Kazi yetu....kabla sijalijua hili niliteseka sana...
Mwanamke ukijifanya unampenda mwanaume utataka umcontrol, umpe pesa...which ni makosa makubwa sana (it is like you womanize him) we mtii mumeo, hakikisha unamtunza kuanzia jicho lake (ujiweke vizuri wewe na nyumba yako), pua yake (unukie vizuri), tumbo lake(mpikie chakula kizuri), mwili wake (mavazi yake yawe masafi) na masikio yake (asisikie maneno ya kero kutoka kwako)...
Hapo mwanaume asipokupenda huyo mgonjwa.
Tatizo Sisi tunajifanya haki Sawa, tunataka na Sisi tupende mwisho tunaishia kugombania password za simu...
NB. Hakuna usawa Kati ya mwanamke na mwanaume na hautokuja kutokea.... ukiona unatoka nyumbani huombi ruhusa Bali unatoa taarifa na ukirudi mume hata hakukosi Kosi na kibao, ujue hapo huna ndoa, tafuta shughuli nyingine ya kufanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah
 
Hakuna usawa Kati ya mwanamke na mwanaume na hautokuja kutokea.... ukiona unatoka nyumbani huombi ruhusa Bali unatoa taarifa na ukirudi mume hata hakukosi Kosi na kibao, ujue hapo huna ndoa, tafuta shughuli nyingine ya kufanya
💯🤝
 
we mtii mumeo, hakikisha unamtunza kuanzia jicho lake (ujiweke vizuri wewe na nyumba yako), pua yake (unukie vizuri), tumbo lake(mpikie chakula kizuri), mwili wake (mavazi yake yawe masafi) na masikio yake (asisikie maneno ya kero kutoka kwako)...
💯🤝
 
Kungwi mchepukoo,kungwi kkaachika kwenye ndoa [emoji38][emoji38][emoji38]kwa kosa la kufumaniwa
Unategemea Nini!???mfyuuuu

Kungwi ni dadapoa
Kungwi Sagaji
Kungwi lilishashindikana nyumbani kwenye mabaraza ya Makanisa, masheikhe, na serikali za mitaa alafu kuna panyabuku wanamsikiliza
 
Umewapiga za Uso , kazi yao imebaki kuwageuza Wanawake wenzao kama fursa, ett kiimgilio Cha Warsha "Laki Moja "...wahi sasa, tiketi ni chache.

Anayeenda kuwafundisha ni janamke gumegume, liloshindwa Ndoa miaka Kadhaa Kwa tabia zake za uchepukaji na ubishi ,lisilotii na pengine hata limekeketwa, linaenda Gym na kufanya mazoezi mazitoo matokeo yake Oestrogen imeshukaa, limekua na ongezeko la Testosterone Sasa limejikuta Lina mitabia ya Kiume ila linavaa mavazi ya kike.

Jingine unalikuta kisa lilisoma, au lilipata kazi mapema, au Kwa michongo michongo au hata kama ni Kwa uhalali basi kisa halimchi Mungu, alafu kikawa financially stable, na Lina Elimu .... Limejikuta halitulii na Wanaume, kwakua sisi wanaume tunapenda mwanamke mnyenyekevu ,basi limechagua kuzaa tuuu ili lilee lenyeweee na hatima yake limetuongezea watoto wa kiume mashoga na ambao wanajiita mashoga Hadi kwenye mitandao jamii!!

Nalo linakuja na "Akina Mama, tukutane Ukumbi pale Mliman city tarehe 31/3/2023 ,kiingilio Laki na Hamsini, tutakula na kuongea mambo ya Ndoa "

Ndoa ya Nyokooo !!! Mmetuharibia Wake za kuoa, mmewafunza ujinga na ujeuri , mwanamke hajui kupika, hajui hata kumnyoosha nguo, achilia mbali hata kupanga vitu Ndani hajui. Janamke ni Saloon, makope bandia, makucha bandia, kujipodoaaaa weeee, Hilo kazini !!

Oyaa, Mkikutana na Demu wa Ivo. Kuleni mbususu mara kadha wa kadhaa alafu msioe,, kuoa oeni wanawake wenye uanamke ndani mwao, wenye hofu ya mungu, wanawake ambao watawalelea watoto wa kiume anakua mwanaume, wakike anakua mwanamke.

Tena, zile familia mnazokuta mwanamke ni mwanaharakati, msithubutu kuoa kwenye hiyo miji.,achen akae na mabinti zake, wamzalie hapohapo, alee wajukuu hapohapo.

Mahitaji ya Mwanaume ni

[emoji117]Heshima ....( Na hili Maandiko matakatifu yameliwela wazi, Heshima Kwa Mwanaume akiipata Toka Kwa mwanamke wake anajihisi ni Mfalme anayemiliki Dunia nzima)

[emoji117]Upendo ( hapa mwanaume anataka aone una mchagulia nguo yankuvaa? Unampikia? Unamwambia umependeza ? Unamshauri ? ...mambo haya sisi wanaume ndio tunayatafasiri kama Upendo yaaan "Mwanamke wangu ananipenda sana aiseee unakuta ananipikia, ananinyooshea nguo, atanipangia nguo za kuvaaa " ,sisi wanaume hapo tunaona ndio tunapendwaaaaaa

[emoji117]Mapenzi , mwanaume yoyote asokua na tatizo la nguvu za kiume, na anakula anashiba anakunywa Maji maji yanenda mpaka kwenye kucha za miguu, Hana stress, hata kama anastress, wee Moe mbususu, nipe mbususu ,nipe mbususu nipe mbususu mpaka mwenyewe niwe naikwepa "
Umemaliza points zote
 
Kungwi ni dadapoa
Kungwi Sagaji
Kungwi lilishashindikana nyumbani kwenye mabaraza ya Makanisa, masheikhe, na serikali za mitaa alafu kuna panyabuku wanamsikiliza
🤣🤣🤣 Mie kungwi wangu kashaachika kitambo, tena ndoa mbili na engagement moja🤣🤣 Ila mwari wake nipo nadunda, Hadi kuzikana Insha'Allah.
 
Mamy K baada ya yote mazuri uliyosema kuhusu mke mwema, naongezea mke pia awe mtundu kitandani mume atafurahi zaidi.

Mtuonyeshe mahaba kunoga msituonee aibu hakuna mume atakayekuona malaya bali atainjoi.

Fungukeni nini tuwafanyie mfurahie shoo
 
Umemaliza kila kitu dada, shida ni kwamba wanawake tunataka kubeba majukumu ya wanaume, hasa hili jukumu la KUPENDA, mwanamke wake mi UTII, Kupenda sio Kazi yetu....kabla sijalijua hili niliteseka sana...
Mwanamke ukijifanya unampenda mwanaume utataka umcontrol, umpe pesa...which ni makosa makubwa sana (it is like you womanize him) we mtii mumeo, hakikisha unamtunza kuanzia jicho lake (ujiweke vizuri wewe na nyumba yako), pua yake (unukie vizuri), tumbo lake(mpikie chakula kizuri), mwili wake (mavazi yake yawe masafi) na masikio yake (asisikie maneno ya kero kutoka kwako)...
Hapo mwanaume asipokupenda huyo mgonjwa.
Tatizo Sisi tunajifanya haki Sawa, tunataka na Sisi tupende mwisho tunaishia kugombania password za simu...
NB. Hakuna usawa Kati ya mwanamke na mwanaume na hautokuja kutokea.... ukiona unatoka nyumbani huombi ruhusa Bali unatoa taarifa na ukirudi mume hata hakukosi Kosi na kibao, ujue hapo huna ndoa, tafuta shughuli nyingine ya kufanya
😍😍😍 Haya ndio maneno sasa.
mawardat Kelsea Aaliyyah njooni mpate somo. Sio oh mie napenda tall dark and handsome. Kuoenda huko kumeanza lini
 
Kwahyo ni Kuachanaa tyuuh.
Mambo mengine yote tutakaa tuongee, ila dharau inayodhalilisha utu na uanaume wangu, tutaachana there is no healing for that. Kwasababu utakuwa umenidhalilisha mimi na wazazi wangu walionizaa, na hatua zote za mwanzoni zakujitambulisha ni za kinafiki. So, kila mtu atambae njia yake.
 
Feminism, Human Rights ni hoja za shetani

Mungu aliposema pale Eden alimaanisha

Katuacha tujiamulie ili mwisho tuchomwe vizuri

Ameacha Ngano na Magugu yaote pamoja, yatatenganishwa siku ya mavuno

Mungu akitaka hata sasa ataharibu kila kitu ila katuachia Neema ili tuweze okolewa.
 
Back
Top Bottom