knows
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,453
- 2,234
Mambo ya Feminist Movement na impower woman ndo zimeleta hizi mambo za gender equality ndo zimetufikisha huku na ndomana hata wazee wetu wa zamani waliamua kumnyima mwanamke elimu we unazani walikuwa hawana akili ni waliona mbali na wakajua haya ndo yatakuja kutokea
Yaan ukiona mkeo ameanza anaangaika na mambo ya harakati za kumuinua mwanamke jua umekwishaaa
NEVER MARRY A FEMINIST
I REPEAT NEVER MARRY A FEMINIST
Yaan ukiona mkeo ameanza anaangaika na mambo ya harakati za kumuinua mwanamke jua umekwishaaa
NEVER MARRY A FEMINIST
I REPEAT NEVER MARRY A FEMINIST